Mauzo ya mafuta ya Iran kwenda China yaporomoka kutokana na shinikizo la Marekani.
Wakati shinikizo la kiuchumi la Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran likiendelea kuongezeka, usambazaji wa mafuta ghafi ya Iran kwa wanunuzi wa China umepungua kwa kiasi kikubwa huku bei zikipanda; hali...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki.
Ni...
My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
Vikwazo maana yake ni kutengwa na mataifa katika nyanja mbalimbali
Vikwazo ni hatari sana,ni janga na vinatesa sana.
Kuna aina nyingi sana za vikwazo lkn vikwazo kwa kiuchumi na kisiasa ni hatari kuliko vyote.
-Kuna vikwazo vya nchi moja kuiwekea vikwazo nchi nyingine,mfano Marekani kuiwekea...
Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo.
Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati.
Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya maeneo ya kimkakati nchini Iran (ikiwemo Bandar Abbas na...
Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...
Niaje waungwana
Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court.
Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
Global Magnitsky Sanctions ni moja ya vikwazo vilivyoongezwa kwenye mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni na bunge la seneti la Marekani kwa serikali ya Tanzania.
Vinawalenga watu binafsi na makampuni kuendelea kufanya au kutumia huduma yoyote ya makampuni ya Marekani na washirika wake dunia...
Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother.
Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake.
Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki.
Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha...
Hakuna ubishi. Kwa sasa super power pekee iliyopo duniani ni Marekani tu.
U super power wa Marekani haupo kwenye masuala ya kijeshi tu.
Bali, hawa jamaa wanadhibiti, kwa kiasi kikubwa, mifumo itumikayo kuendesha uchumi wa dunia.
Ukisikia wamemuwekea mtu flani vikwazo, basi kwanza ujue...
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
Tangu October 29 2025 mpaka leo nchi haijarudi kuwa sawa mivutano ya huku na kule haiishi , mambo ya msingi yanashindwa kufanyika zaidi na zaidi mazungumzo ni yaleyale ya oct 29 pesa nyingi inatumika kusaulisha / kusafisha tukio la oct 29 lakini mbaya zaidi kadri ccm wanavyotaka kujisafisha...
Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi.
Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu wanasoma USA anza kutafuta shule mapema lkn sio EU, kama ulikuwa unaenda vacation US au nchi za EU sahau...
Tanzania ni Nchi huru na isiyoweza kuingiliwa na Nchi nyingine kwenye masuala yake ya ndani. Sasa, kwa nini tunawa-bembeleza waa-Amerika wasituwekee vikwazo?
Kwa nini tusiwapuuze waa-Amerika kwa takwa na nia yao ya kutaka kutuwekea vikwazo ambavyo kama Nchi huru, havitatupa athali yeyote...
Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho
Kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.