Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria.
Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
Ilibidi tuende kusuruhisha baada ya mke wake kulalamika jina lake kutohusishwa kwenye wosia kama mtu anaye takiwa kurithishwa mali.
Ndugu yangu akaanza kueleza kama ifuatavyo:
"Mme na mke sio ndugu wa damu. Na ndio maana mme akifariki siku hiyohiyo mke anachukuliwa na mwanamme mwingine na...
Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.
Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea.
Katika kuonesha...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee), kinachofanyika katika Jiji la Busan kuanzia tarehe 19 hadi 29 Julai 2026...
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama.
Ingawa hana urithi wa moja kwa...
Mahakama ya Rufani imeamua kuwa baadhi ya mali zilizokuwa zikihusishwa na marehemu Getrude Rwakatare si sehemu ya urithi wake, bali zinamilikiwa kisheria na kampuni ya St Mary’s International Academy Limited.
Katika hukumu iliyotolewa Mei 18, 2026 jijini Dar es Salaam, Mahakama ya Rufani...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa.
TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka.
(Kaaba History, Sabir Khan)
Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma)
Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa...
Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) ..
15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi
Mengi ambayo yalishikiliwa na wachache sasa yakawa yanapenyeshwa kwetu kwa namna ya utofauti mkubwa ....
Katika picha ya...
Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu
Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi.
Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
🗳️ TATHMINI YA MARAIS WA TANZANIA: NANI AMEACHA URITHI BORA NA FUNZO GANI KWA UCHAGUZI MKUU 2025?
🔎 Utangulizi:
Katika kipindi hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu sana kwa Watanzania kujitathmini – sio tu kwa kutumia hisia au propaganda – bali kwa kutumia akili, takwimu, na...
Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
"Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye...
je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi"
Jirani akaja...
Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi.
MTU Kama mirradayo , diamond n.k
Max Melo
Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi
Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.