Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari.
Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
Rodri anadaiwa kutoa kauli hiyo akiwa amekaa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani katika ushindi wa Barcelona wa mabao 5-0 dhidi ya Valencia katika mchezo wa ligi Jumapili.
Matokeo hayo katika Uwanja wa Mestalla yaliiacha Valencia mkiani mwa msimamo wa ligi, ikiwa haijapata ushindi wowote...
Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira.
Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!!
Huku ni kuonesha udhaifu...
Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia
Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli.
Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
Ushawai kujiuliza kwanini baadhi ya watu wana nguvu, heshima, ushawishi na nafasi ya kubwa katika jamii. Basi ipo hivi Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, kwa hiyo pambana ili uheshimike. Ndiyo maana wenye sauti kubwa mara nyingi ni wale wenye nguvu ya fedha, maarifa, ujasiri au ushawishi...
Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile?
Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia.
Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru.
Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao. Kwanza kwa kuwa na msimamo wa kutonunulika.
Sasa kwa Chama ambacho kina viongozi kama Kihongosi na Ally...
Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana...
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'.
Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi
Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi
Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia”
Demokrasia yetu bado ni changa
Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya...
Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na Iran katika muktadha huu inaweza kujengwa juu ya misingi ifuatayo:
1. Kulinda Misingi ya Uhuru wa...
Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya
Alisikika tu akisema:
"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.
Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM na ukimuona mtanzania yupo CCM jua ama anaitumia CCM kwa maslahi yake binafsi au anatumiwa na wanaoiongoza CCM kwa maslahi yao binafsi.
Huwezi kwa sasa kuwa mwana CCM kama wewe siyo mbinafsi.
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha .
Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves
Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu
Yaani anaamini vipi na wale...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais.
Wananchi tutachukua...
Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi.
Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu basi
Msije kujichanganya kwa Burundi au Rwanda. Nimemaliza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.