mirathi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. L

  Baada ya kuona nimepata mirathi kawa mpole sana

  Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu. Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa haeleweki tangu mirathi imetoka kawa mpole mapenzi motomoto simuelewi kaamua kujirekebisha au nii hii...
 2. Suley2019

  Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

  Salaam Wakuu, Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu. Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu...
 3. mahunduhamza

  Msaada kuhusu suala la mgawo wa mali za mirathi kwa mjane na watoto kisheria

  hili suala kisheria likoje kwa mama mjane na watoto zake kugawna mirathi ambayo mume wake amefariki. kisheria hili suala likoje na lina fanywaje katika masuala mazima ya mgawo,mfano mume alikua na wake wawili na kila mke ana watoto wa 2. Mke wakwanza aliachika nataratibu za kugawana naye...
 4. Deejay nasmile

  Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama?

  Wakuu naomba kuuliza hili swali? Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea Iko hivi wakuu Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
 5. F

  Ni gazeti gani sahihi kutangaza msimamizi wa mirathi?

  Habari wadau, Ukiambiwa peleka tangazo la mirathi katika gazeti? Je, gazeti la kampuni yeyote ama gazeti maalumu. Ni gazeti gani linakubalika na mahakama? Ama umepoteza vyeti ukaambiwa katangaze gazetini? Gazeti gani linakubalika na mahakama?
 6. Replica

  Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

  Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
 7. Mimi.

  Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

  Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
 8. Jaslaws

  Msaada: Namtafuta msimamizi wa mirathi au ndugu yeyote wa Sabetha Mwambenja

  Habari wanajukwaa, Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank). Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba...
 9. Kididimo

  Luhaga Mpina mheshimu Rais aliyeko madarakani usimpangie ya kutekeleza, usilazimishe Legacy,utawala siyo sawa na mirathi

  Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?. Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau. Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati...
 10. D

  Kati ya mahakama na benki ni ipi ina wajibu wa kumkabidhi msimamizi wa mirathi pesa za marehemu alizoacha benki au SimuPesa?

  Ikiwa marehemu kaacha pesa kwenye Akaunti ya bank au simu! Je, ni wapi ambapo msimamizi wa mirathi atatakiwa kwenda kuchukua hizo pesa za marehemu? Ni Benki au ni mahakamani? Je, usahihi wa taarifa ukoje?
 11. Me too

  Mheshimu yeye na uzao wake yule mwangalizi wa mirathi pale kijijini, kwakuwa hajauza hata robo ya shamba la urithi wenu

  Wale waangalizi wa Mali za wazee ambapo huteuliwa abaki kijijini ili kulinda ardhi na Mali zake pindi wazee wanapofariki kisha wenzake wanaenda mjini kujichanganya na maisha ya kimataifa. Kama mwangalizi huyo ameishi hapo mpaka amekuwa na wajukuu tangu mufiwe na wazee na hakuna hata kitu...
 12. Mathematical Equation

  Ndoa na Mirathi inawaumiza Wanawake

  Ipo hivi watu wakifunga ndoa hutangazwa kuwa ni Mwili mmoja, au kitu kimoja, kwa maana maamuzi sasa yanataka concer ya wote wawili. Lakini mwanamke akifa kwenye ndoa, na mwanaume akiwa hai, hakutakuwa na ugomvi wa mali, kwa kuwa mali hazitakuwa na mpango wa kuganywa. Lakini akifa mwanaume basi...
 13. Segekid

  Sheria na utaratibu baada ya mtumishi wa Serikali kufariki

  Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah. Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya Serikali na utaratibu wa mirathi. Wajuzi wa Mambo hayo naomba mtusaidie kwa manufaa ya Jamii nzima.
Top Bottom