Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria.
Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison
Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini.
Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate.
Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia...
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake.
Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo kampuni. Kuna watu wanasema kampuni haina kesi kwa sababu mpigapicha alipiga kinywaji chao bila...
Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa
Sakata la SIMBA...
Wakuu habari,
Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu...
Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
Anonymous
Thread
kubadilisha
kuhuisha
serikali
sheria
umma
utumishi
utumishi wa umma
Mzuka wana jamvi ?
Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani.
Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka?
https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/
Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto).
Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
Anonymous (fdc6)
Thread
hivyo
hospitali
hospitali ya wilaya
kuingia
sheria
simu
ubungo
wagonjwa
wilaya
wilaya ya ubungo
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana.
Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma.
Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka.
Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua.
Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo.
Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji.
Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Aina za Sheria na Kazi Zake
1. Sheria ya Jinai (Criminal Law)
Inahusika na makosa ya uhalifu.
Kuwashtaki na kuwatetea wahalifu.
Uhalifu wa mtandaoni na makosa ya kifedha.
Uchunguzi wa ufisadi na makosa ya ofisini.
Maamuzi ya vifungo na kukata rufaa.
2. Sheria ya Madai (Civil Law)
Inahusika na...
Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani.
Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.