YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
Hii mamlaka hebu ipunguze kidogo kutumia maneno makali na vitisho kwenye barua zao hasa zile za VAT Verification , yaani wanakuomba utume vielelezo halafu bado wanakwambia tunauwezo wa kuvikataa na tukakushtaki vile vile , sasa namna hiyo jamani si tuongee tu kama ndugu wakuu sisi sio waharifu...
Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini.
Leo kiongozi mkuu wa kidini...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
Hivi tangu lini ukamuona msemaji wa Serikali wa Marekani anasimama na kuanza kuchamba raia au wafanyakazi wengine?
---------------------
Nimesikiliza speech ya Msigwa jana yaani amenikera alichokuwa anataka kukiwasilisha kilikuwa ni kina maana lakini uwasilishaji ni sifuri. Hata kama ni maafisa...
RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU.
KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA KUTOA MATUSI NA KUSEMA YEYE HAOGOPI YEYOTE NA MATUSI JUU.
WATU KAMA HAWA NDIO WANAOCHAFUA TASWIRA YA...
👉 1. Bay of Pigs (1961) - CIA ilipanga kuuangusha utawala wa Fidel Castro kwa kutumia majeshi ya wahamiaji wa Cuba waliokuwa uhamishoni. Operesheni ilifeli vibaya baada ya Cuba kujua mapema na Marekani kukosa msaada wa anga wa kutosha, hivyo washambuliaji wengi walikamatwa au kuuawa.
👉...
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini
==========
US military says it struck southern Iran in 'self-defence'
The US military said it...
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.
Inaelezwa kuwa asubuhi ya...
Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions!
All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
Kero yetu ni kutolipwa fedha ya kujikimu, sisi ni Walimu Ajira Mpya mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, tukifuatilia tunapewa majibu ya kukatisha tamaa, na vitisho pia!!
Serikali itusaidie, maana hatuna pa kwenda!! Ajira mpya ya 2026, wamekuja, ndani ya wiki moja tu wakalipwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
nachingwea
stahiki
uchunguzi
vitisho
walimu
watumishi
wilaya
Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University.
Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza...
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.
Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao.
Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote.
Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.