katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Uzalendo wa Kitanzania

  Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

  Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
 2. Ojuolegbha

  Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

  KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
 3. peno hasegawa

  Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Nchimbi Nina ujumbe wako!! Ninakupataje?

  Mwenye mawasiliano ya Dr Nchimbi tafadhali! Au kama yupo humu Jf ili niingie PM nimtumie!! Ni ujumbe muhimu kwa chama changu Cha Mapinduzi.
 4. D

  Kupata kibali cha Katibu Mkuu Utumishi baada ya kupata barua ya ajira toka sekretariet ya ajira

  Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS). NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo...
 5. BARD AI

  #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

  Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
 6. F

  Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

  Sisi sote tu mashahidi jinsi katibu Mkuu CCM anavyoonesha dhahiri kupingana na Rc Arusha. Ni katika sakata la kuwataja wanaomuhujumu Rais. Katibu amekuwa na mafumbo na kejeli kwa mwenzie. Je anataka kumfurahisha nani? Je anafanya hayo kwa dhamira ya thati? Je, anafurahi wadhifa wa urais...
 7. GENTAMYCINE

  Katibu Mkuu CCM Dk. Nchimbi: Wanaoanguka ( Wanaotoswa ) CCM waache Nongwa

  Nchimbi najua hapa hili Dongo unampiga nani, ila nakujua Wewe ni 'Mafia' hivyo hamtamchekea huyo mjinga. Taarifa hii iko katika Gazeti la Leo (Jumapili tarehe 14 Aprili, 2024 ) la Nipashe katika ukurasa wake wa Pili. Kaisomeni Ok?
 8. peno hasegawa

  Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

  Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
 9. S

  Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

  Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
 10. Hamduni

  Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
 11. Webabu

  Katibu Mkuu UN awaambia EU waache undumilakuwili. Wanavyoiona Ukraine iwe hivyo hivyo kwa Gaza

  Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza. ========== BRUSSELS (AP) — European Union...
 12. Ngongo

  Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu. Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya...
 13. Revolution

  Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

  NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze. Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu...
 14. J

  Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

  "Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo." "Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
 15. Frank Wanjiru

  Katibu Mkuu Netiboli Ajiuzulu.

  Katibu Mkuu wa Chama cha Netiboli Tanzania ‘CHANETA’ Bi Rose Mkisi amejiuzulu nafasi yake baada ya sakata la kuishutumu Serikali kwa upendeleo. Mkisi alinukuliwa na Redio moja akisema Serikali inapendelea sana mpira wa miguu na kwamba wameisahau michezo mingine ikiwemo Netiboli. Mkisi mbali...
 16. Erythrocyte

  Fitna za Ndumbaro zamuondoa Katibu Mkuu wa CHANETA

  Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote . Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo...
 17. BARD AI

  Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

  UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
 18. HaMachiach

  Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

  Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
 19. BARD AI

  Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

  Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
Back
Top Bottom