Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba

Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo

Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi ya 20

Msg za vitisho kibao, utaitwa majina ya kila Aina kuanzia mwizi tapeli, mzinguaji

Wale vijana hawana Heshima kabisa

Na mkopo ukizidi siku moja basi ujue hizo msg za vitisho zinaenda Kwa watu wako wote ambao umewasave kwenye simu yako

Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20

I think serikali ipige stop kwanza ili wajipange vizuri,
 
Kibaya, wakopaji wana andika majina ya watu kama watu wao wa karibu bila ridhaa yao, na baada ya kuandikwa na mkopaji bila taarifa, na wewe unaitwa tapeli, dawa ni kuwashtaki tu
 
Nanukuu

""Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20""

Kama huwezi kulipa unakopa vya nini???!!!

Jamii za hovyo ndio Huwa Zina kopa na kukimbia deni...

What's up ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Kukopa ni shida, na Ile ni huduma ndio maana mtu anachukua elf 20 anarudisha elf 29 because wote tunapata faida

Kila mtu anakopa Kwa sehemu Yake mwingine bank mwingine vikoba mwingine Kwa ndugu yake

Tunachozungumza hapa ni the way wanadai, hivi kweli mkopo wa elf 15 ambao umechelewa kulipa Kwa masaa 3 inapaswa atumiwe msg mkwe wako?

Tena wanaangalia Yale majina umesave vizuri ndio wanatuma msg za kudhalilisha
 
Dawa ya deni ni kulipa acha janja janja..

Hoja unaelewa
Kibaya, wakopaji wana andika majina ya watu kama watu wao wa karibu bila ridhaa yao, na baada ya kuandikwa na mkopaji bila taarifa, na wewe unaitwa tapeli, dawa ni kuwashtaki tu

Tena kama haupokei simu wanakuuliza mbona haupokei simu yake? Utadhania ww ni wife wake
 
Kuhusu udhamini, Kuna wale wanaotuma ujumbe wa hiyo hela itume kwenye namba hii.
Mimi huwa nachukua zile namba Kama wadhamini wangu. Kipindi kingine tumia namba za wale wazee wa ndagu.
Unachukua mkopo kiulaiiini huku unapiga mluzi. Sasa ngoma itakua kwa wazee wa ndagu.
 
Hahaahaha sasa shida Iko hivi

Kama mdhamini wako ndani ya masaa 24 ajafanya anything wanaingia kwenye phone book yako au kwenye contact zote ulizopiga
 
Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Sasa ujumbe kama huu Kwa elf 20 kweli?

Serikali inabidi ifanye Jambo hapa
 
Hahaahaha sasa shida Iko hivi

Kama mdhamini wako ndani ya masaa 24 ajafanya anything wanaingia kwenye phone book yako au kwenye contact zote ulizopiga
Uncle hp4510 huwa sikurupuki.
Nanunua itel mpya, line mpya halafu contacts ninazoingiza Ni za matapeli na wazee wa ndagu tu. Halafu nawapigia ionekane Ni jamaa zangu.
Kisha naomba mkopo. Napewa nalipa, naomba Tena nalipa Tena , Tena na Tena mpaka tunafikishana kwenye milioni.
 
Haha ๐Ÿ˜† we jamaa hatari sana
 
Back
Top Bottom