mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnandi Jr

    Nani mshindi?

    Salam. Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).? KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia, Alieitisha maandamano hajatumia gharama yeyote.. Amani iwe nanyi.
  2. M

    Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  3. Zack Abdul

    CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026. Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani ambalo Lina Tarafa tatu ikiwemo Ismani, Idodi na Pawaga...
  4. M

    Leta methali, akikosekana wa kukujibu wewe ndiye mshindi

    Lugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia. Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua wengine wakijibu nao watoe zao, hapa kuna watu watajifunza na kuanza kuzitumia wasizojua. La kuvunda...
  5. R

    NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  6. Kibenje KK

    Mshindi wa kwanza kuondoka na 30M (Vijana uchumi challenge)

    Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye ubunifu, yanayotekelezeka na endelevu katika kulinda na Kukuza Uchumi wa Taifa letu dhidi ya athari za...
  7. D

    PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka. PhDs zimechemkaje? 1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani)...
  8. Bata batani

    Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

    Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
  9. fimboyaukwaju

    Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  10. R

    Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  11. Dr Adam Francis

    PostGE2025 D9: Kwenye vita ya ngangali na ngunguli hakuna mshindi

    Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania...
  12. M

    Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  13. M

    GE2025 Tetesi za ndani: Ndani ya saa chache zijazo, INEC wanataka kumtangaza Samia kuwa Mshindi

    Chanzo cha uhakika kinadokeza kuwa mkakati uliopo ni kumtangaza haraka na kumpa hati ya Ushindi Samia Suluhu usiku huu kama Mshindi halali wa “uchaguzi” uliofanyika juzi. Wanachotaka, ni aapishwe mapema iwezekanavyo kisha ‘Kina Mzee Butiko’ waongoze the so called “Maridhiano”
  14. Common Folk

    Uchaguzi Ufutwe, Jeshi litangaze Uchaguzi mpya na wao ndiyo wausimamie, vyama vyote vishiriki, mshindi apatikane kwa haki.

    Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi: 1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance. 2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa. 3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA. 4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
  15. M

    GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  16. Richard

    GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  17. political monger senior

    Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  18. Damaso

    Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  19. N

    GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

    Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
  20. Kubwa la Maadui

    Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Shalom shalom Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili. Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao...
Back
Top Bottom