Hamjambo!
Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo.
JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?
Ni mumeo?
Ni mkeo?
Ni wazazi wako?
Au watoto uliowazaa?
Au serikali?
Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
Halmashauri ya Jiji la Mwanza kushindwa kubadlisha jina la mmiliki wa kiwanja kwenye mfumo, Nilinunua nyumba Mwaka 2024 na kukamilisha taratibu zote za kuhamisha milki Julai, 2024.
Japokuwa kwenye hati linasomeka jina langu, Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameshindwa kurekebisha taarifa zangu za...
Anonymous
Thread
ardhi
halmashauri
halmashauri ya jiji
hawataki
jiji
jiji la mwanza
jina
kiwanja
kubadilisha
mfumo
mmiliki
mwanza
umiliki
umiliki wa ardhi
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine.
Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote.
Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
baada
ghafla
kipindi
kiuchumi
kubadilishakubadilisha maisha
kuishi
kushuka
kushuka kiuchumi
maisha
mrefu
muda
muda mrefu
presha
sio
tukutane
tuliowahi
uchumi
vipi
wako
Habari watu wa humu,
Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania.
tf.
Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama.
Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
Soko maarufu la Gikomba jijini Nairobi liko katika hatua mpya ya mabadiliko makubwa, huku majengo matatu ya kisasa yenye ghorofa kadhaa yakianza kuchukua sura. Mradi huo unalenga kubadilisha soko hilo kutoka eneo lenye msongamano na miundo ya muda hadi kituo cha kisasa cha biashara.
Kwa mujibu...
Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk.
Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
Wakuu Wasalam,
Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini.
Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu,
Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo.
Natanguliza Shukran 🙏
Laptop yako imeharibika housing? Lete tukubadilishie kwa haraka na kwa bei nafuu.
✅ Tunazo housing za aina mbalimbali za laptop
✅ Pia tunafanya fix ya housing iliyopo bila kubadilisha
📍 Tunapatikana Ilala, DSM
📞 0767953873
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?
Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu maisha watu unaoishi nao wanaweza kabisa kubadilisha namna unavyojiona hata bila wewe kugundua. Ukiwa karibu sana na watu wa umri mkubwa, baada ya muda unaanza kujikuta unatabia za kikubwa automatically. Unaanza kuongea kwa utulivu, kufikiria maisha kwa...
Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani.
Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi.
China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?
Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao.
Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako.
Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
Wakuu habari,
Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu...
Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
Anonymous
Thread
kubadilisha
kuhuisha
serikali
sheria
umma
utumishi
utumishi wa umma
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia
2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika
3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa.
Tunaelewa kuchambua siasa za...
Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki.
Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere
Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere
Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa
Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.