hawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kuwa mtiifu kwa Mwanaume Bwege, asiyejielewa.

    MWANAMKE HAWEZI KUWA MTIIFU KWA MWANAUME BWEGE, ASIYEJIELEWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vijana lazima mjue hili. Mkijizama data mtajua wenyewe. Hakuna mwanamke aliyezaliwa mtiifu. Huyo mwanamke hayupo. Utiifu umeamrishwa kwenye Dini na tamaduni kwa sababu sio jambo la asili...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

    03 September 2026 Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030 Is CCM at risk in 2027 ? Prof. Mihanjo reveals serious new details regarding Dr. Nchimbi and also state of the Nation undercurrent threats https://m.youtube.com/watch?v=WaaT54VkSb0 Mazungumzo haya ya...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya serikali. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya majambazi yenye silaha. Mungu anaweza...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kushinda kesi hii ambayo mzani wa kisheria umepokwa na mamlaka ya kisiasa

    Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye akili timamu hawezi kufanya kazi na genge la wafiraji,watekaji na mafisadi

    Wadau genge la Samia ni genge la wafiraji, watekaji na mafisadi, je wenye akili tuwaase wajitenge nalo?
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Katika hali ya kawaida kwa hatua aliyofika samia hawezi kurudi nyuma

    Tupunguze matarajio tu,
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

    Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali. Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa tusidanganyane

    Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii? Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba tizama tanzania atatokea nabii mnyakyusa akili kichwani wewe kanunue mafuta utajirishe manabii wa uongo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nchi "imetekwa" na watu katili sana. WanaCCM wamekuli kukaa kimya na CHADEMA wachache wamejitoa muhanga. Lakini kilamoja anaumia na Mfumo huu

    SASA WAKULIMA WA TUMBAKU, PAMBA NA KATANI wamekipata. Bei ni Yakuumiza na kufilisi kabisa. Lengo tukate tamaa, tuache kilimo, tupivwe njaa kisha tupewe silaha tuuane. Wanaua uchumi wa kila mtu. Sawa na Kahawa Wafanyakazi wa umma hali ni Ngumu kuliko wakati wowote. Walitekwa kwenye uchaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na mfumo wa kuhakiki bidhaa original kwa kuscan stika za TRA, mchakachuaji hawezi kuprinti stika na kuibandika kwenye bidhaa feki ?

    Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki. Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing amtengenezee stika hata 1000 ? Mteja kabla hajalipia bidhaa anascan QR code, kitu kinasoma freshi tu kumbe...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  16. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa!! Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa: Msimchafue Mfanyabiashara Nilesh Suchack Hawezi changia vyma vya vurugu

    https://www.instagram.com/reel/DarhTH8s5Fj/?igsh=eWI5dmwzOGVnenRs
  19. venchwa

    JamiiForums Tanzania Samia Hakufaa si tu kuwa Rais bali hata uwaziri hawezi

    Yote haya ni kuokota okota tu watu kushika nafasi Uzuri wangu si Mekko wala Samia amewahi niongoza nimetoka Tanzania 2015 Mwishoni , Ila kupitia watu wanaoishi Tanzania na Wengine ni wakubwa serikalini wanavyolalamika chini chini huyu Mama hafai kabisa Kataa kubaki huo ndo ukweli, Full...
  20. karonga

    JamiiForums Tanzania NI UMRI UPI INATOSHA MTU HAWEZI KUUMIZWA NA MAPENZI

    Kuna changamoto kubwa Sana kwa mtu mzima kuumia au kuteswa na mpenzi, labda alichelewa kuanza mahusiano au changamoto za Kimaisha au kiafya, mimi binafsi kutokana na kujihusisha na mapenzj mapema, nimepitia mishale mingi Sana kiasi ambacho kwa Sasa haiwezekani tena kuumizwa na mpenzi, nishawahi...
Back
Top Bottom