online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Tujuze Online TV: Swali Kuhusu BAKWATA

    https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿 Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  3. Streetot

    JamiiForums Tanzania Shuga Anebi Appointed Director of Entertainment, North Central Region, Under Relax Tinubu Is Fixing Nigeria Initiative

    Chief Patrick Andrew Anebi popularly known as Shuga Anebi Appointed Director of Entertainment, North Central Region, Under Relax Tinubu Is Fixing Nigeria Initiative. Renowned Nigerian music artiste and philanthropist, Shuga Anebi, has been appointed as the Director of Entertainment, North...
  4. Streetot

    JamiiForums Tanzania 96-Year-Old Alhaja Gbajabiamila Trends Online Over Longevity, Strength and Remarkable Achievements

    Alhaja Lateefat Gbajabiamila at 96, Trailblazing Matriarch Celebrated for Longevity, Service and Excellence At 96, Alhaja Lateefat Olufunke Gbajabiamila, mother of the President’s Chief of Staff, Femi Gbajabiamila, continues to attract admiration for her remarkable strength, grace and enduring...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa DAWASA wa kuomba kuunganishiwa Maji ONLINE haufanyi kazi

    Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi sehemu tulipo tupo ndani ya mita 50 kutoka bomba kubwa hivyo tunatakiwa kuvuta maji yule mtu akakatiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuanza kusoma kozi ya umeme wa magari through online

    Wakuu natamani kuanza kusoma coarse ya umeme wa magari through online,kwa hivyo naombeni ushauri kwa wale wazoefu waliowahi kujifunzia mtandaoni ni changamoto Gani mmewahi kutana nayo na vipi mkijipima mmeiva vizuri ili namimi nisije nikaingia mkenge.
  7. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania FALSE Uganda's new RDC appointments circulates online

    Tunachokijua A document circulating on social media and WhatsApp groups purports to be an “Instrument of Appointment of RDCs” issued by the Republic of Uganda. The document carries the Ugandan Coat of Arms and lists names of individuals alongside positions and districts, creating the impression...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NIDA online unatakiwa kufanyiwa maboresho, hakuna uwiano kwa nyaraka zinazotakiwa humo na zile unazotakiwa kuwasilisha ofisini kwao

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ninayokutana nayo katika mchakato wa kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa kupitia mfumo wa NIDA Online katika Ofisi ya NIDA Tarime. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo wa NIDA Online kwa kujaza taarifa...
  9. Vien

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenzangu, tupeane uzoefu wa ku-deal na wateja wa online

    Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gamers, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?

    Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online. Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?
  12. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda NMG Halts Online Publications as Talks Over Reopening Gather Pace

    Nation Media Group (NMG) Uganda has temporarily suspended all online news publication as negotiations with the Ugandan government and security agencies continue over the reopening of its media outlets, including NTV Uganda, Daily Monitor, KFM, Dembe FM, Spark TV, and The EastAfrican. The...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KNEC Yazindua Online Portal ya Kudownload KCSE na KCPE Certificates

    Hatimaye, Kenya National Examinations Council (KNEC) imezindua online portal itakayowezesha former candidates kudownload KCSE na KCPE certificates zao kwa njia ya kidijitali, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa nyaraka muhimu za elimu. Kwa miaka mingi, maelfu ya wanafunzi walikosa...
  14. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni wakati wa Baraza la Mitihani(NECTA)kuanzisha huduma za online za upatikanaji wa vyeti.

    Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k. Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Interior CS Kipchumba Murkomen: Kenyans Can Now Download and Print Birth Certificates Online

    Kenyans will no longer need to queue at government offices to collect birth certificates after Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen announced that birth certificates can now be downloaded and printed online. The new development is part of the government's efforts to digitize public...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  17. Attaboy

    JamiiForums Tanzania Online Aptitude Test - Ajira Aptitude Test

    Salamu kwenu wadau, poleni na majukumu na mapambano ya kusaka ajira. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kufaulu usaili wa ajira za utumishi wa umma. Changamoto huwa ni pale unapofika kwenye chumba cha mtihani; unakutana na maswali 50/100, halafu muda ni mchache. Wengi wetu unakuta tunafeli sio...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Jifunze stadi za kubost matangazo online kupata wateja ada ni 14500

    Mafunzo ya vitendo kwa simu yako tu. UTAJIFUNZA: 1. Kuboost matangazo kwa budget ndogo 2. Kupata wateja sahihi FB, IG, TikTok 3. Kubadilisha muda wako kuwa kipato ADA: Tsh 14,500 - Masaa 24 Mawasiliano: 0793 883 627
  19. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Online wars kwenye social media dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali ni nyingi sana

    Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
Back
Top Bottom