kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi nakukumbusha kinyume cha neno haramu ni halalai. Je, rais wetu ni halali?

    Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

    Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi . 1. Saudi Arabia 2. Iran 3. Qatar 4. UAE 5. Afghanistan 6. Mauritania 7. Yemen 8. Brunei 9. Maldives 10. Pakistan 11. Somalia 12. Malysia
  3. T

    JamiiForums Tanzania Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sheikh : Wake wa Muhamad,Hafsa et al walikuwa Makafir, na Omar Swahaba wake alikuwa Hanith na anaingiliwa kinyume na Maumbile

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya Sheikh Maulid. Naomba tuweze jifunza kitu kutoka kwa Wataalamu wa Dini
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya mapenzi kinyume na maumbile vimeongezeka kwa sababu pornograph imefanya tendo lilie lionekane ni rahisi, la kawaida na lenye msisimuko

    Porno na video za pilau ni ushetani mkubwa sana, Ewe mdada linda makebo yako.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ada za Carryover na Supplementary katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa masomo 2025/2026. Utaratibu huu umekuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi, hasa wale wenye hali duni...
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kuna muda baadhi ya watu walidhani Nchimbi anatufanyia maigizo kwenda kinyume nao, kumbe jamaa alikua hatanii, salute kwake.

    Nisiandike mengi, niseme tu, salute kwako balozi, dkt Nchimbi Tungekua na wanaume watano tu kama wewe huko sisiem basi tungelikomboa taifa
  8. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwaza, hivi haiwezi kuwa kinyume na tunavyo dhania huu mkutano wa dharura?

    Huwenda ikawa tunae mdhania kutoka ndie kumbe ndio anaingia ! Hatuwezi jua maji yamezidi unga kiasi gani!
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Mkuranga watendaji wa vijiji wanatoza ushuru wa 10% ya mauzo kwa wanunuzi wa viwanja

    Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo. Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji. Kwa mfano mwananchi...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ambazo ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, swali ni Je sisi Media tutimize wajibu wetu kikamilifu kwa kuwaripoti viongozi hao wasema hovyo bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mlangarini Sekondari (Arusha) mnazuia Vyeti vya Wanafunzi kwa Sheria au Kanuni ipi?

    Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao. Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Julius Malema wa EFF atiwa hatiani kwa kukutwa na silaha/matumizi kinyume cha sheria akikabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela

    Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi anaenda kinyume na Sera ya Elimu, analazimisha Wanafunzi wasome masomo yote

    Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023. Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tenda za Zabuni za Taka, Kata ya Miburani hazijafunguliwa toka Mwezi Oktoba 2025. Mkandarasi apewa mkataba kinyume na taratibu za vikao

    Mkandarasi mwenyewe wa TAKA Kata ya Miburani ameshindwa kufanya kazi na kuna Hatari ya Magonjwa ya Mlipuko. Mchakato wa tenda umeingiliwa na wanasiasa
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Back
Top Bottom