chupi

Chupi (Persian: چوپي‎, also Romanized as Chūpī; also known as Chūbī) is a village in Khvor Khvoreh Rural District, in the Central District of Bijar County, Kurdistan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 68, in 23 families. The village is populated by Kurds.

View More On Wikipedia.org
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

    Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea. Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi nyingi zilizoanikwa na wife kwa chini bila Mimi kujua. Story ziliponoga mimi nikaegemea kiti...
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hii huwa ina maana gani?

    Alikua akilia tu "jamani daddy" machozi yake anajifutia na noti nyekundu za kutosha, machozi yote yanafutika na yeye anapotea mpaka zikiisha anarudi tena kuzifuata na kujilizaliza. Kuna swali hua najiuliza; Mwanamke kuchukua video za nguo za ndani (chupi zake) zote anazozivaa na kumtumia...
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Vichupi kamba ( bikini) viheshimiwe

    Kwenye mapenzi, chupi naona ni mtego Mkubwa kuliko chochote, mara akae vibaya uone chupi 😋, mtu kuja uchi wa mnyama inakata kinouma🚮 Kwa uzoefu nimeona kama vijinguo kama hivyo , weka na vikanga vya kiuchokozi vina vibe kuliko, bidada akitokea kama alivyo zaliwa. Na lisiwe lile...
  6. U

    JamiiForums Tanzania wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

    wadau karibuni jukwaani
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

    Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue. imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili. Wanaume wakiona hupata picha...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fikiria: Mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana

    Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana kwenye bajeti ya nyumba hiyo...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu, sio ajabu Chupi akavaa kichwani, Bunduki haikuwa na lengo la kuonea

    Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
  10. moto wa maji

    JamiiForums Tanzania Nilivyokunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi ya mwanamke

    Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke. Nilikua naishi mwenyewe kwa mda mrefu bila mahusiano yoyote yale yani nilikua nanunua wanawake ili kukidhi haja...
  11. fact only

    JamiiForums Tanzania Chupi, kigoli 4,500,000 tu kariakoo.

    Business issues. Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara ya nguo za ndani ni pazuri biashara ipo. Pia utasidiwa kuonyeshwa machimbo ya kupata mzigo wa wewe...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

    Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe. Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shoga yangu alitegesha chupi yake chumbani ili nimuache mume wangu

    VISA NA MIKASA; Shoga ya Nimetoka zangu kujifungua narudi nyumbani nakuta nyumba ni safi, yaani nawaza huyu si mume wangu kwakweli! Naingia ndani nawaza nani kafanya huu usafi! Jicho la kiukaguzi, yaani kuchunguza kama kuna kitu. Basi nikawa sina amani, mume ananiuliza vipi namuambia kuchoka...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
  17. G

    JamiiForums Tanzania chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Chimbo la chupi aina zote

    "Copy and paste from Facebook" Ni kama wiki na ushee nilimpa connection hii dada fln anauza mitumba hapa kitaa na amefanikiwa kupata mzigo wake aliagiza chupi 100 zikaja kama alivyo agiza. Siishi Dar lolote likikupata sio Mimi nimeshare nanyi humu Kwa atakae penda afanye hii biashara. Ahsantee...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kitakachomfanya mwanamke malaya atulie kwenye ndoa yake ni dhiki pekee. Siku akiwa na uwezo wa kujinunulia angalau chupi ndoa itaanza kuzama

    Hello! Kama kawaida siachi kuwasanua wanaume wenzangu. Inaumiza sana kuoa malaya. Usithubutu kuoa malaya. Jana nilileta Uzi uutafute upate kumjua mwanamke malaya na ujinasue usije kuingia kwenye kimbwini ukamwoa. Kuna wanaume wanalaumu eeehh nimemfungulia duka sasa limekua anaanza jeuri. My...
  20. Full charge

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

    Inshu iko hivi: Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji Sasa leo mwana kafua boksa...
Back
Top Bottom