huyu jamaa kwanza huwa anakuja kwenye 30 ya bongo flava kama nani? Siyo muimbaji anakuja kutoa maneno ya kebehi au dharau kwa ma legend wetu wa bongo flava na kujiongezea umaarufu binafsi angepigwa marufuku.
Ni kwamba CCM ukiweza kuisifu hata ukiwa muovu inakutunza na kukulinda.
Kwa taarifa za ndani hata ilo jina mwaipopo wanadai ni kujipandikiza watu wasigundue uraia wake.
Ila kigoma wana mfahamu vizuri kuwa alitokea burundi.
An oversight visit to the police has found that vehicle tracking is done by a separate device installed in the vehicle, not by the number plate itself, according to Hon. Mpaka.
Speaking about the findings, Hon. Mpaka(Chairperson of the Parliamentary Committee on Physical Infrastructure) said...
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Hamjambo!
Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29.
Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida.
Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee
Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu
Anyways...
Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu wanatafuta umaarufu.
Ila kwa bahati mbaya, kipindi cha MO29 mwanae alipigwa risasi kwenye kibanda chake cha...
Mbunge wa Uganda, Brian Kipyagon, amezua mjadala baada ya kuonekana kwenye video akimfanyia kampeni Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2027.
Katika video hiyo, Kipyagon anawasihi wananchi kumuunga mkono Ruto na hata kudai kuwa Waganda wanaweza kuvuka mpaka kuja Kenya kumpigia...
Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
Tunauza bata wa aina mbalimbali kwa bei nzuri. Wapo wakubwa wa kutaga pamoja na vifaranga wadogo.
Bata mzinga – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa wa kutaga na wadogo wanapatikana)
Bata Bukini – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa na wadogo wanapatikana)
Bata Pikini – Jozi TSh 150,000/= (wadogo wanapatikana)...
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo!
Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala!
Yaani...
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
1. Amefanikiwa kupata makebo ya haja
2. Kiuno yaani laini chepesi
4. Kifuani tanganian zimejaa zimevimba
5. Rangi ya mtume.
. Yaani ukimlainisha mpaka unaweza kinga kwenye kibakuli ukaenda kutumia kwa mwingine. Hapa huwezi pata ngoma kabisa. Wa motoooooooooooooo.
Habari ya asubuhi wakuu!
Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja.
Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.