nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. vibertz

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji betri aina ya ER 34615

    Nahitaji betri aina ya ER 34615 ambalo kwa jina lingine inaitwa non-rechargeable D-size -Lithium Thionyl Chloride (Li-SOCl₂). Naomba kwa anayejua duka ninaloweza kupata naomba nijulishe, au kama kuna mtu anauza naomba nicheck, iwe ni kampuni yoyote ile ila iwe na uwezo wa 19,000 mAh (19Ah)
  2. Aggrey sallah

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

    Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu. Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi. Awe na uwezo wa: • Cutting na...
  3. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  4. cold water

    JamiiForums Tanzania Harmful nimeshindwa kuku dm

    ......
  5. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya mtumba ya kuoshea magar......nipo Mwanza

    kwa yeyote anayefaham chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar naomba anijuze tafadhali ila ni kwa Mwanza
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ngoma hii ya Michael Jackson.

    Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie. Smooth criminal They don't care about us When I come of age Stranger in Moscow Blood on the dance floor N.k. Nitashukuru sana .🤝
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viroba vya kilo 50, kama vile vya Azam vya unga wa ngano

    Jamani, Kama kuna mtu anajua kiwanda kinachotengeneza ville viroba, naomba anisaidie contact, nina shida navyo.
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

    Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla. Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
  9. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

    Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao...
  10. BICTEM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza ufundi ujenzi

    Kama title isemavyo, nahitaji kupata fundi kujenga anifundishe kujenga, nitafanya kazi kama saidia huku akinipa ujuzi, mkoa wowote ule nitafika. Nawasilisha.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mchumba miezi 4 kisha nimwoe Mwakani mwezi January

    Naomba niweke wazi hili mapema. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mchumba wangu kwa miezi minne. Mi nakuja Tz mwezi wa 10 katikati. So hapo tutaonana live. Nitakuwepo Tz mpaka mwisho wa January so nataka mwanamke ambaye nikishamwoa tu awe tayari nisafiri naye. Mimi makazi yangu ni Egypt, China...
  12. Frustration

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Epson printer na PC yake

    Printer Iwe kwa multipurpose Pc ya kawaida maana ni kwa mtumizi ya hiyo printer tu. Photocopy, printing na copying na scanning. Brand: Epson
  13. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI GAMING LAPTOP YENYE RTX CARD

    Habari za muda huu wakuu Nahitaji gaming laptop USED yenye rtx graphic card 2060 vram 6gb Core i7 gen 11 CLEAN CONDITION UKAAJI WA CHAJI ATLEAST MASAA 3 KWA KAZI NDOGO NDOGO KAMA MOVIE ,MS WORD BAJETI YANGU NI 1MILION 0627796644 SERIOUS SELLER TUWASILIANE
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  15. aise

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hii mimea Kwa mwenye nayo Leo nahitaji

    Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata 👋
  16. kiraza

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuunda Bot wa Aviator, Nahitaji Logic

    Wakuu Mwenye idea tushirikiane nimefanikiwa kuunda bot ya aviator ambayo inafanya kazi yenyewe Shida ni logic ya kupata Egde ya uhakika kihesabu hapo pananitoa Jasho 24/7, kama unaamini una logic bora itakayofanya kazi nicheki Dm tushirikiane.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba anakupenda, Anakuhitaji kwaajili ya kutimiza nahitaji yake

    Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana 1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake mtaji. 2 Kuna mwanaume unamwona kama vile kakuzimia anatangaza na ndoa kabisa kumbe akili zake...
  18. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  19. Gabb_y

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara au mawinga nahitaji combination hii ya nguo

    Habari wakuu nilikuwa naomba kuulizia wapi ninaweza kupata combination kama hii?
  20. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
Back
Top Bottom