kushuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta inaweza kushuka zaidi kwa kupunguza kodi, tozo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya Septemba 2, 2026, bei ya petroli imeshuka kwa Sh102 kwa lita, huku dizeli ikipungua kwa Sh101 kwa...
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Kisukari kilogoma kushuka, Tumia mmea huu

    Jina maarufu ni kihindi hindi Makabila machache huuita mavimbe na wengine mlayuni kisayansi tunauita cissus Quadrangularis Tafuta mmea huu, majani ya mzambarau na kashkashstar anise) na andaa kwa formula hii 1. Unga wa Kihindihindi (Cissus quadrangularis), 100gm 2. Unga wa majani ya Mzambarau...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

    Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia. Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine. Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mtibwa Sugar inapanda kushuka

    Miaka ya nyuma kidogo Mtibwa ilikuwa kiwanda cha wacezaji wakubwa, sasa hivi imebaki kuwa ya kupanda na kushuka
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani
  9. R

    JamiiForums Tanzania IMF: Mfumuko wa Bei Duniani Kushuka hadi 3.8% kwa 2026 na 3.4% ifikapo 2027

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania ‘Do you Remember’ song by Phil Collins: Huwezi amini sikujua hii nyimbo naipenda sana kumbe ni makosa nilifanya ila basi

    Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano. Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua nyimbo fulani. Ila Nimeishia kulia na umri uwezi kurudi nyuma wala wakati. Nimekubali nilikosea...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi TV nchi 32 kushuka chini nayo ni ya kununulia Tv guard

    Wakuu hii imekaaje unafikiri Tv nchi 32 kushuka chini inafaa kununuliwa Tv guard au nayo ni kama simu tu,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

    Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dola imeanza kushuka tena, Je ni fursa?

    Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa mwaka huu mpaka january 2026. Kama itapdanada tena kwa watu watakao nunua dollar 2300 na kuiuza 2700...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya nafasi ya ubunge inazidi kushuka

    Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana. KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu kifedha ama kisanii lakini pia familia maarufu kuchukua form za ubunge. Ni sahihi kwa sababu wana haki...
  19. stan john

    JamiiForums Tanzania Michele unaanza kushuka lini?

    Habari, Bei ya Michele ipoke uko kyela ,mbalali,morogoro ,Michele unaanza kushuka Bei lini
  20. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
Back
Top Bottom