mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
 1. Frumence M Kyauke

  Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

  Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
 2. Komeo Lachuma

  Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

  Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
 3. ROBERT HERIEL

  Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

  POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
 4. Bujibuji Simba Nyanaume

  Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

  Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
 5. Erythrocyte

  CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

  Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
 6. sinza pazuri

  Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

  Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
 7. Lycaon pictus

  Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

  Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
 8. Idugunde

  Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

  Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa. Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
 9. KEROZENE

  Je, ni kweli kuwa yafuatayo yana Ushirikiano mkubwa sana na yanategemeana mno?

  Uroho, Uchoyo, Roho Mbaya, Wivu. Uchawi, Chuki na Unafiki? Kazi kwenu katika Kunidadavulia hapa.
 10. Frumence M Kyauke

  Nyangumi wa bluu, mnyama mwenye uume mrefu zaidi duniani

  Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in). Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
 11. safuher

  Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

  Habari yako ndugu msomaji. Ama baada ya salamu na kumshukuru mungu naomba nianze kwa kusema kwamba MIMI NAAMINI MATATIZO YA KURITHI YANATIBIKA(hii ni imani yangu) Baada ya kusema hivi naomba niingie kwenye mada yangu ya upara ama kupoteza nywele kichwani hasa ule wa kurithi wataalamu wanauita...
 12. Bwana PGO

  Pro-CCM wengi ni Antisocial na wana Msongo mkubwa wa mawazo

  Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi. No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya...
 13. K

  Kwa unyenyekevu mkubwa, ombi kwa BBC na DW

  Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu. Asanteni
 14. Jerlamarel

  Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

  Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
 15. Fundi Madirisha

  Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

  Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
 16. sky soldier

  Wenye diploma wanaula!! Wapo wachache tofauti na kazi zinazohitaji degree ambazo ushindani ni mkubwa kupita maelezo

  Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
 17. Replica

  Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

  Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 11/01/2021 ========== Watuhumiwa wote...
 18. Euphrates

  Mike Iron Tyson na Diego Armando Maradona

  Je, wajuwa!! Mpiganaji wa zamani wa boxing Mike Iron Tyson, ni shabiki mkubwa wa Marehemu Diego Armando Maradona, mwamba alikuwa anamkubali sana mchezaji huyu wa karne na kupiga nae pictures kama munavyoona hapa chini. For me/kwa upande wangu Euphrates , Maradona na Messi ndiyo wachezaji...
 19. Jesusie

  Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

  Nawasalimu kwa Jina la JMT, Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki...
 20. jitombashisho

  Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

  Ni suala la muda tu. Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa. Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika...
Top Bottom