kilimo


  1. Mlachake

    Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa

    Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss.. Yeyote mwenye idea naomba msaada please!
  2. blogspot

    Naomba ushauri Tunaingia kwenye kilimo Soon.

    Habari wakuu. Poleni na mihangaiko. Wakuu tupo vijana wawili sisi ni wanafunzi kutoka vyuo tofauti UDSM na SUA tumekaa pamoja na kuamua rasmi kuingia katika kilimo wote tulikua JKT mwaka fulani kambi moja. Hivyo tuliweza kupitia vitengo mbalimbali Mfano Kitengo bustani ambapo...