kumkataa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Strong and Fearless

    Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  2. S

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
  3. S

    Najuta kumkataa

    Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu. Kweli tukapanga nikaenda kuonana nae mchumba mtarajiwa nyumbani kwao kabisa. Kwao maisha mazuri, na mtoto mwenyewe alikuwa ni mshika dini. Lakini sikuvutiwa na muonekano...
  4. Melki the Storyteller

    Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

    Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
  5. BARD AI

    Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  6. BARD AI

    Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  7. Camilo Cienfuegos

    Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

    Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.
  8. Roving Journalist

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  9. J

    Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi. Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6 Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen Freeman Mbowe...
  10. GENTAMYCINE

    Simba SC tafadhali hili la Yanga SC Kumkataa Mwamuzi wa ASFC Final Ahmed Aragije liangalieni 'Kiujasusi' zaidi

    Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC. Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
  11. Mwanakulipata

    Anaonyesha kukupenda ila ukimtongoza anakataa

    Hivi ndugu zangu hili swala lipoje, unakuta mwanamke upo nae karibu sana anaonyesha kabisa kukupenda, ila ukimtongoza anakataa kata kata[emoji23]. Ukimpoteza anarudi kuwa karibu yaani kiasi kwamba hata mtu baki akiwaona anajua mpo pamoja lakini ukimtongoza ngwalaaa. Hili swala linakuaje...
  12. mFuKuZa nDoTo

    True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

    Watu wa Jamii Forum Salaam, Naitwa Mfukuza Ndoto, Nina umri wa katikati ya ujana naishi mkoa fulani kanda ya kati. Basi bwana mnamo mwaka fulani nikiwa na 20+yrs nilitokea kumpenda binti fulani toka nyanda za juu kusini, binti huyo alikuwa mwanafunzi wakati huo katika chuo fulani hapa mjini...
Back
Top Bottom