bei

 1. K

  Azam tv kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu

  Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi. Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
 2. N

  Sato bei poa kulingana na uzito

  Tunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali. Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini...
 3. RUSHAMBYA

  Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

  Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo. Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
 4. Roving Journalist

  Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
 5. Magari Nusubei

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba

  Kiwanja kipo Kibamba Gogoni Km 1 kutoka Morogoro road Kinafikika na gari Ndani kuna gofu Ukubwa ni sqm 1600 Bei ni milioni 28 (mazungumzo yapo) 0677 818283
 6. Magari Nusubei

  Eneo kubwa linakatwa kwa viwanja vidogo vidogo MBEZI KWA MSUGULI bei ya kutupa

  Kiwanja kipo Mbezi Kwa Msuguri sehemu inaitwa Bwaloni. MBEZI HII YA STAND MPYA YA MKOA Umbali kutoka Morogoro Road ni kilometer 2 Tu Viwanja viko sehemu nzuri kweli kweli ni majumba mazuri na makubwa yamejengeka hapo. VIWANJA NA BEI Mita 20×20=Million 13.5 Mita 20×25=Million 15.5 Mita...
 7. mitindo huru

  INAUZWA Computer CPU naiuza kwa bei nafuu

  Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
 8. mitindo huru

  INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

  Nauza Printer HP kwa bei nafuu, Printer ina sifa zifuatazo: Print Scan Copy Pia printer ina Wireless Connection, yani unaweza kuunganisha Printer na Computer zaidi ya tatu bila kutumia wire, pia printer ni mpya ina wino wake na inafanya kazi. Bei ya Printer ni 250,000/= dukani ni 400,000/=...
 9. M

  Bei za fremu Morogoro Mjini

  Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
 10. M

  Tukutane inbox kama unahitaji 'huduma hii' kwa bei nafuu

  Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
 11. Infantry Soldier

  Are you dealing with many units? Unahisi wahasibu wako wanakuibia? Njoo PM nikupe solution kwa bei poa

  Mambo vp wadau wa jamiiforums Are you dealing with many units (Magari, Wanafunzi)? Unahisi wahasibu wako wanakuibia? Njoo PM nikupe solution kwa bei poa sana. Kuna mzee mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya clearing kule Tunduma mwaka 2013. Wakati ninakaa sehemu moja wanaita Mlowo kwa aunt yangu...
 12. Estate Tanzania

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach - Africana (upande wa bahari)

  Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
 13. kibovu

  Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

  Habar wakuuuuu, Poleni na mahangaiko ya wiki ,Wakuu leo ni weekend tupeane location ya kiwanja chenye watoto classic na beer bei elekezi jijini Dar es salaam . mfano TPS BEI SIO ELEKEZI BEER LOCAL 4000 . Karibuni wakuuu tupeane location.
 14. sync max

  INAUZWA Asali ya jumla inauzwa

  .
 15. H

  Dar: Nahitaji chumba (master) kwa bei poa

  Nahitaji ushauri maeneo yapi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha master kwa bei poa ya kizalendo or n maeneo yapi katika mkoa wa Dar ni mazuri kupanga na kuanza maisha
 16. H

  Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

  Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
 17. peno hasegawa

  Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

  Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
 18. B

  Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

  Kuna nini viwandani? kama uzalishaji umepungua Serikali iruhusu vifaa vya ujenzi kama bati na saruji kutoka nje kuingizwa nchini. Bati za Simba Dumu zilizokuwa zikiuzwa bundle 1 bati 16 shilingi 325,000/= hadi kufikia juzi bei ilikuwa imefika shilingi 400,000/= kwa bundle 1 la bati za simba...
 19. Michibo

  Naomba ushauri kuhusu biashara ya bucha

  Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake. Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo. Na taarifa zote muhimu zinazohitajika. Natanguliza shukrani. ===== Mchango wa mdau
 20. 3330

  Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

  Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
Top Bottom