Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?
Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.
Bado ninasita...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various...
Hii ni habari nzito iliyokuwa inasubiriwa...
Kwa kuwa tumekuwa na matatizo sana kwenye mikataba, sijui na mradi huu utasalimika!
Ni kampuni ile ile walioshinda tenda zamani wakanyimwa ikawa...
Nimesikia kuwa hivi karibuni, nchi zote za Afrika ya Mashariki zitatumia sarafu moja. Nimekuwa natafiti pole pole kutafuta picha za pesa tulizowahi kutumia hapa kwetu, nikaona nizitundike hapa...
Wiki chache zilizopita niliwaletea historia ya fedha ya sarafu hapa nchini kwetu nikaahidi kumalizia na historia ya noti. Kwa bahati mbaya majukumu yamenizidi nikashindwa kupata nafasi ya...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya...
Get off X kwa tafsiri nyepesi unaweza kusema ni kuwa nje ya x, lakini katika ujasusi haina maana hiyo.
Katika ujasusi ukisikia Get off the X, maana yake uwe nje ya tukio, shari au viashiria vya...
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko...
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya...
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu...
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
"Powers" ndicho kitu...
Na DaVinci XV
SEHEMU YA I
Masal kheyr wakuu,
MWANZO 3:1
Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu.
Binafsi tangu ningali mdogo nilikuwa na tatizo la...
Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi...
ANGALIZO: Yote yaliyoandikwa humu yatabaki kuwa ni maoni binafsi ya mwandishi wa makala ambayo baada ya kukamilika hii habari references na citations zitawekwa. Kutokana na maada hii kuwa...
Kwa shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama directorate K. Hii idara ilikuwa na kazi maalumu ya kufanya bugging , kile kitendo Cha kupandikiza vinasa sauti na video camera...
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani...
Wanabodi,
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina...
Habari za masiku wanajukwaa wote, leo ningependa tujadili watu mysterious kwenye vitabu vyetu vya dini kama ilivyo kawaida yetu. Hivyo twendeni pamoja ili tusolve mystery hii, kubwa ya yote...
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar...
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki...
Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili...
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa...