kusikiliza

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Rebeca 83

  Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

  Habari wakuu. Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga. .Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe...
 2. Ojuolegbha

  CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

  CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI Songea, Ruvuma 19 Septemba, 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
 3. B

  Naibu Msajili Mahakama ya Uhujumu aainisha masharti ya kusikiliza kesi ya Mbowe

  16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3. Marufuku kurekodi kwa kutumia simu Hakuna katazo...
 4. J

  IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

  IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
 5. B

  Jaji Mustapha Siyani ataanza upya kusikiliza mapingamizi yaliyomfanya Jaji Elinaza kujitoa au anaendeleaje na kesi?

  Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote mbili alikubali kuwa hati ya mashtaka ina makosa lakini pamoja na kubaini makosa kwenye hati ya...
 6. Erythrocyte

  Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

  Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
 7. M

  Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

  Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
 8. Stephano Mgendanyi

  Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

  MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
 9. kavulata

  Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

  Zimbwela bwana. Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi. Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio...
 10. Shujaa Mwendazake

  John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

  Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
 11. Saint Ivuga

  Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

  Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
 12. OKW BOBAN SUNZU

  Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

  Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
 13. GENTAMYCINE

  Hivi Siku hizi kila Mtu akijisikia tu anaweza kwenda Bungeni Kusikiliza na Kutambulishwa kwa Wabunge hata akiwa hana na hajafanya la maana kwa Taifa?

  Ifike muda sasa Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwepo kama enzi za Awamu ya Kwanza, ya Pili, ya Tatu na kidogo ya Nne. Bunge siyo sehemu ya kuingia Wahuni, Watu wakorofi, Vibaka na Watu wasiotaka kwa Makusudi kuhama eneo Hatarishi la Jangwani ambalo kila Siku tu Serikali...
Top Bottom