tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
 1. K

  Kuna Tofauti kubwa ya wadau wa upinzani wa Kaskazini na sehemu nyingine

  Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
 2. Plan Paris

  Je, tujifunze kufikiria tofauti?

  Kufikiria tofauti ni kitendo cha kuwa na wazo tofauti na lile lililozoeleka siku zote kwa watu wengi. mfano kama watu wamezoea kupitia mlangoni basi wewe ihangaishe akili yako kubuni njia nyingine ya kutokea! Kwa maoni yangu nadhani kufikiria tofauti ndio chanzo cha mawazo mapya na ubunifu...
 3. L

  Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

  Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
 4. MTV MBONGO

  Anayeuza kiwanja/nyumba moja kwa Watu tofauti afungwe

  Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake. Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
 5. N

  Tofauti ya kabila na kabila

  Mimi nikiwa nje ya Tanzania najitambulisha kama Mtanzania, maana ndiko baba zangu walitoka au kuzaliwa au kuishi au waliamua wenyewe au mimi mwenyewe kuwa ni nchi yangu. Ukiwa ndani ya Tanzania ni mara chache utaamuliza mtu wewe ni Mtanzania, labda awe wa rangi nyingine unaweza kushuku anatoka...
 6. konda msafi

  Sasa hivi dispensary za kata za Serikali unalipia kila kitu. Hakuna tofauti na hospitali binafsi. Tozo tunazokatwa za kazi gani sasa?

  Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari unalipia. Vipimo vyote unalipia, dawa zote unalipia. Kiufupi kila kitu unalipia kwa 100%. Sasa nimeshindwa...
 7. Josh J

  Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

  Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
 8. BALAGASHIA

  Huu utofauti wa vijana wa CCM na Chadema unatokana na nini?

  Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema? Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu. Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
 9. Q

  Maria Sarungi: Tofauti na wakoloni, watawala wetu hawana pa kwenda hawatambui kuwa ‘Kwao ni Kwetu’

  Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao. Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki #TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai...
 10. mourisous

  Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

  Habari wakuu...?? Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:- 1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi? 2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na...
 11. Side Makini Entertainer

  Naomba kujua tofauti kati ya Kung Fu na Karate

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu zaidi tofauti ya michezo ya ngumi hususani KUNG FU na KARATE. Leo naombeni kujua hili kwa wanao fahamu Natanguliza shukurani sana na mungu awabariki!
 12. TheDreamer Thebeliever

  Kwanini watumishi wa Halmashauri wana nyodo sana tofauti na watumishi wa Wizara?

  Habari wadau..!! Wiki hizi mbili tatu nimekuwa busy sana na kuzunguka kwenye hizi taasisi za kiserikali. Katika mizunguko yangu nimejifunza kwamba hawa watumishi wa halmashauri ni viburi,nyodo nyingi tofauti kabisa na wale watumishi wa ofisi za wizara. Kibaya zaidi unaenda ofisi za...
 13. minisalmin

  Story of Change Tofauti za Kiuchumi (Kati ya walionacho na wasionacho), Nini kifanyike?

  Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna moja ama nyingine. Leo ningepende kurununa (share) nanyi baadhi ya mawazo yangu juu ya nini kifanyike...
 14. M

  Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

  Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba. Tena kwa ninavyomjua Shiboub na kumtizama tokea akiwa Kwao Sudan na katika Mashindano mbalimbali ya Kimataifa aliyocheza...
 15. Magema Jr

  Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

  Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
 16. The Underboss

  Hakuna tofauti kati ya Iphone 12 na Iphone 13

  Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli. Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone...
 17. Sam Gidori

  Fahamu: Nchi Zinazoitwa kwa Majina Tofauti na Yanayofahamika kwenye Ramani ya Dunia

  Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
 18. mwarobaini_

  Jinsi Taliban wanavyoyazima maandamano hawana tofauti sana na Serikali yetu

  Imeripotiwa kwamba leo baadhi ya wanawake wa Afghanistan waliandamana wakipinga kuundwa kwa serikali mpya chini ya Taliban ambayo haina waziri mwanamke hata mmoja. Katika harakati za kuzia maandamano hayo Taliban wamewatembezea vipigo waandamanaji pamoja na waandishi wa habari walikuwa...
 19. U

  Nini kifanyike kwenye hali hii ya tofauti ya majina?

  Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo. Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
 20. May Day

  Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

  Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
Top Bottom