mtumba

Mtumba is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,277.The ward is along the main road to Dar es salaam. Residence in this ward depends much on Agricultural activities as well as Animal keeping.
The Wards of District of Dodoma urban -Dodoma Region-Tanzania
Chamwino | Chihanga | Dodoma Makulu | Hazina | Hombolo | Ipala| Kikombo| Kukuyu North | Kikuyu South | Kilimani | Kiwanja cha Ndege (Dodoma)| Kizota | Madukani | Majengo (Dodoma) | Makole | Makutupora | Mbabala | Mbalawala | Miyuji | Mkonze | Mpunguzi | Msalato | Mtumba | Nala | Ng’ong’ona | Nzuguni | Tanbukareli | Uhuru | Viwandani | Zuzu

View More On Wikipedia.org
  1. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya mtumba ya kuoshea magar......nipo Mwanza

    kwa yeyote anayefaham chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar naomba anijuze tafadhali ila ni kwa Mwanza
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Yajue haya mambo 5 kabla hujanunua simu ya mtumba aina Google pixel

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Pixel za Mtumba: Jua Siri Hizi Kabla Hujanunua

    Unakuta Google Pixel 6 au Pixel 7 ya mtumba inauzwa TSh 400,000 hadi 650,000 Bongo. Ukipiga picha hapo hapo dukani, inakupa muonekano safi kuliko hata Iphone ya milioni mbili. Unainunua kwa furaha kutoka Kariakoo, Mlimani City, au kwa wauzaji wa Instagram. Lakini wiki mbili baadaye, unajikuta...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma unazinduliwa kesho Spetemba 8, 2026

  5. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

    Hellow wakuu. Habari ya majukumu. Nimeona niwashirikishe hili suala. Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa. Ni mtumba. Grade No 1. Size No 44 Hakikuwa kimevaliwa Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe...
  6. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

    Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu. Mawasiliano: whatsapp 0749343929
  7. Agent Smith

    JamiiForums Tanzania Pasi ya mvuke ya kunyoshea nguo za mtumba inauzwa

    Ni mpya ipo kwenye boksi lake. Imetumika mara moja tu wakati wa kuijaribu siku ya kununuliwa dukani. Bei 25K. Ipo mbezi mwisho.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba recommendation ya model nzuri ya laptop ya mtumba ndani ya 800K–1M

    Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis. Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Begi za Mtumba zinauzwa

  10. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Sumsung Galax F flip3 5G, ya mtumba. Nikiweka line inaniandikia inter unlock netork code.

    Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T. Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code. Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software? mkuu Chief-Mkwawa
  11. thriftwaika

    JamiiForums Tanzania Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

    Hellow! Kwamba V8 ni muhimu kuliko engine ya SGR inayobeba watu wengi? Nani anyongwe Katika hili. Karibuni 🙏
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yapata ajali. Serikali ya Samia iko kimya, yazuia vyombo vya habari kuripoti

    Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣 Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU . Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma . .
  14. V

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa balo za mtumba

    KARIBUNI SANA VUNJABEIMTUMBAGRADE1 WAUZAJI WA BALO ZA MTUMBA GRADE 1 KUTOKA CHINA UK CANADA'S DUBAI WHATAPP GROUP LETU UJIFUNZE ZAIDI VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1 Mawasiliano 0657710078 TUNAPATIKANA ILALA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY
  15. hon daniel killion

    JamiiForums Tanzania Biashara Ya MTUMBA Grade 1

    Habari wakuu, Natumai wote ni wazima. Nimepanga kuanzisha biashara ya kuuza nguo (hasa T-shirts za kiume na kike - Grade 1 A). Lengo langu ni kuanzisha duka lenye muonekano wa kisasa na bidhaa bora kwa vijana wa mjini. Nahitaji ushauri na mawazo mapya kuhusu mambo yafuatayo: 1. Njia bora ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
  17. jangoma

    JamiiForums Tanzania Wanapouza taulo za high quality mtumba au special mkoani Mwanza

    Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
  18. V

    JamiiForums Tanzania Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

    WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3 Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Tunauza mabalo ya mtumba grade 1

    Karibuni sana mtumba safi wauzaji balo za mtumba grade1 kutoka Pakistan china Thailand Canada Dubai UTURUKI na Korea Tuna balo za nguo aina mbalimbali na bei hutofautiana kulingana na balo linatoka nchi Gani na aina ya nguo Whatapp group VUNJABEI 🔥BALO ZA MTUMBAGRADE 1 Mawasiliano 0657710078...
  20. Justine Mitumba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtumba

    . Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli ukihitaji ushauri wa biashara ni FOLLOW Justine mtasiwa au Justine mitumba tunauza mitumba jumla na...
Back
Top Bottom