wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa. Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Serikali na Samia sio Wajinga kukubali kushindwa kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu zifuatazo

    Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga. #Mahakama za bongo hazina...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tusiogope kuonekana Wajinga pale tunapojenga ndoto zetu

    Vijana wengi tuna ndoto kubwa, lakini tatizo si kukosa uwezo wa kuzitimiza. Tatizo ni kuogopa maoni ya watu. Unaweza kuwa na wazo zuri, lakini ukianza kulieleza watu wakakucheka. Unaweza kuanza biashara ndogo, watu wakakuona huna direction. Unaweza kujaribu jambo jipya na ukashindwa, watu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

    Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi.
  5. Aelknes

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujalogwa sisi ni wajinga

    Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga.. Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni kama kila siku tunazidi kurudi nyuma hatujui tunapoelekea Vijana wanakesha mtandaoni hawana cha maana...
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao. Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi...
  8. min -me

    JamiiForums Tanzania Vijana nyie wajinga sana

    Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha siku zote Dua la kuku halimpati Mwewe. Msiwe wajinga

    Hamjambo! Kuna sisi nilikuwa nataka kuwapa watu fulani hivi. Ila nimezuiwa na wahenga. Nimeambiwa mara nyingi natoa codes fulani ingawaje vichwa panzi wamekuwa wagumu kuzipata frequencies zangu ili kung'amua codes hizo. Leo sina maneno mengi. Nitawarejelea wahenga wakisema DUA LA KUKU DAIMA...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko...
  11. Uhumbwe

    JamiiForums Tanzania Chadema hawajui wanataka nini

    1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele 2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado kuna kundi kubwa la wajinga na wengi ni wasomi

    Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu. Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi. Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD. Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli. mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dunia ya wajinga, ulimwengu wa werevu

    Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
  14. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Watu wanene especially wanaume hua na maamuzi ya ajabu ajabu wanaendeshwa na hisia sana

    Watu wafupi hua wabishi kutokana na kuhisi wanadharauliwa, pia hua vinakua na mbembwe na vituko. (Japo sio wote) Watu wembamba hua wanakua na anger issues, wana hasira yma karibu. (Japo sio wote) Ulishakamatwa na traffic kimbau mbau. Au ulishakua na kesi na kamwalimu ka hesabu kembamba ? Watu...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Kete ya Dkt. Nchimbi itawateka wajinga

    Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea. Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi. Sasa...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

    Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mazito Tanzania, lakini wananchi hawatakiwi kufanywa wajinga

    Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na Israel.” Sawa, vita vinaweza kuathiri mafuta duniani, hilo kila mtu analijua. Lakini swali la...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof Issa Shivji: Watanzania sio wajinga. Kiungo kati ya AMANI na HAKI ni UWAJIBIKAJI. Hatuwezi kupiga hatua bila viongozi wakosaji kujiwabika!

    https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05 ANASEMA: Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Derby kuchezewa Isamuyo kabla ya week kuisha watu wanahamia KMC- Simba na TTF ina viongozi wajinga sana

    Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali...
  20. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Story za uchawi ni fiction story (stori za kubuni ) na zipo sana kwa ajili ya jamii ya watu wajinga tu

    Hizi story za uchawi , ni story ambazo zipo kwa ajili ya jamii duni na jamii za watu wajinga . Mwaka 2006 ulitokea msiba wa kumpoteza bibi yetu , ila kwakuwa bibi yetu alikuwa kaolewa ndoa ya mke zaidi ya Mmoja basi walisema karogwa na kuuliwa na mke mwenza. Kitu Gani kilitokea . Bibi...
Back
Top Bottom