Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.
Fedha nyingi sana na muda vilipotea bure bila kupata katiba mpya. Tusiandike tena Katiba mpya ambayo itakwamia...
Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Hizi ndizo sifa za wadada wanaoishi peke yao, zikiangazia tabia na maisha yao ya kila siku kwa njia ya utani na ukweli wa mitaani.
Hawapendi Wageni: Akija mgeni ananuna na kufikiria ni saa ngapi ataondoka ili arudi kulala au kuangalia muvi.
Kupika Mpaka Njaa Ikaribie Kuwaua: Mara nyingi...
Hellow wa JF.
Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye nyumba za watu hana kiwanja wala nyumba.
Naomba niwakumbushe hakuna tuzo utakuja kupewa ya kulipa...
Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako.
-Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.
Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania.
Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
changamoto
elimu
kubadili
portal
sifa
SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke wanayemuona mitaani huko.
Pia ni kawaida pia wanawake nao wenyewe kwa wenyewe kutingishana na...
Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI
Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira, bashite, etc etc etc.
Ukionekana kutumia busara akili unatupwa nje eg Simba Chawene
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
Hapo ndipo tulipofika.
Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
Kuna kitu kinaitwa "Scarcity Principle" (Kanuni ya Uhaba). Kitu chochote kinachopatikana kirahisi na kila muda, thamani yake huwa inashuka. Ukiwa mtu wa "ndio" kila wakati na unapatikana saa yoyote, watu wanaanza kuchukulia uwepo wako kama jambo la kawaida sana (taken for granted).
Kutokuwa...
CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu
1. Mafisaidi
2. Wezi
3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu.
4. Al munafiqina
5. Wachawi/Machawa
Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa.
What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy.
Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa,
Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
Natafuta mke mwenye sifa hizi;
umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote,
Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama
karibu Dm kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.