jamii

 1. CalvinKimaro

  Mambo 10 ambayo mngesusia mngeeleweka na kukubalika na jamii

  1. Matibabu nje ya nchi kwa gharama za serikali. Haifai kulalamika kuwa jimboni matibabu ni duni wakati unatibiwa nje kwa gharama inayotosha kujenga zahanati yenye vifaa na madawa jimboni kwako. Ni heshima kususia hii huduma yenye ubaguzi na ubadhirifu. 2. Posho na marupurupu bungeni...
 2. MASSHELE

  JamiiForums imeleta mapinduzi makubwa Tanzania

  -Jukwaa hili hutoa nafasi kwa mtumiaji wake yeyote kuchapisha, mambo mbalimbali, kama vile habari, mijadala, na mafunzo mbalimbali, na hivi ndivyo ninavyolijua jukwaa hili. Aidha, jukwaa hili pamoja na kuwa ni chombo cha habari pia huweza kutumika kama sehemu ya mijadala au mafunzo mbalimbali...
 3. R

  Natafuta mshirika wa kuanzisha naye asasi (NGO) ya kusaidia jamii

  Habari zenu, Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa...
 4. mlakimtoto

  Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

  Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
 5. bahati93

  Ni vyema kuwatambua Sycophant katika zama hizi

  Habari wanajamii, Kutokana na malezi au asili ya mtu kunapelekea kuwepo kwa aina mbalimbali za binadamu wenye tabia za kufanana. Katika uzi huu nitajikita kueleza kinaga ubaga cha type ya binadamu ambayo kitaalamu wanaitwa sycophant. Kama una udadisi utakuwa ushawahi kutana na psychopath hadi...
 6. S

  Je, ni ipi nafasi ya wasanii wa kizazi kipya kumulika uhalisia wa jamii yetu?

  Habarini za muda huu wakuu. Natumai mu wazima wa afya. Kijana wenu nimejitupa jamvini leo nikiwa nahitaji tujadili kidogo namna sanaa ya nchi yetu inavyokwenda. Kijana wenu nilijaaliwa kusoma fasihi ya Kiswahili na sanaa kwa uchache sana. Aidha, katika harakati hizo za kusoma fasihi...
 7. B

  Siasa za kujua Generation ya Chini yako unafanya nini kushepu JAMII

  Moja ya Michezo ambayo waTanzania hatukuamua kuinvest Kwa sababu hatuna miundombinu ya viwanja ni Mieleka Kwa waduvi wa mambo ilitakiwa kuwa makini kuhakikisha watu hawatujudge kuwa Tuko tayari kubadilika wakati bado tunataka kulalamika vitu ambavyo ni Ovious Saikolojia hii ya hawa makamanda ni...
 8. F

  Afya: NHIF kuondoa dawa nyingi kwenye Bima ya Afya, dawa muhimu kwa jamii ya Kitanzania, kulikoni?

  Bima ya Afya ni mfumo wa kumwahidi kumrejeshea mwanachama hali ya Afya bira malipo pindi anapopata shida ya kiafya kwa kuuugua au kulazwa hospitalini hasa pale tu anapokuwa amelipia michango ya marejesho (premiums) kila mwezi au kwa mwaka. Huko nyuma hasa miaka ya kuanzia 2010 kurudi nyuma...
 9. cheusimangala_

  Jamii kuchanganya kati ya kampeni za uchaguzi na kufanya mikutano ya kisiasa

  kampeni za uchaguzi ni njia ya mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani au chama chake au wakala wake kuwasiliana na wapiga kura na kuwaeleza sera zake kwa ajili ya kuomba ridhaa yao ya kuchaguliwa kuwawakilisha. Kama hiyo haitoshi tuliona kuwa utaratibu wa kampeni za wagombea urais...
 10. Aloyce Mkwizu

  GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

  Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
 11. zitto junior

  Socio-Economic Intelligence na hatma ya Taifa

  UTANGULIZI Tokea tumepata uhuru bara letu la Afrika tumekuwa na changamoto zinazofanana ambazo sio tu zimetuacha maskini bali tumerudi nyuma kimaendeleo kuliko hata kipindi cha ukoloni. Na matatizo haya yameshazoeleka kiasi kila mtu haoni kama yana ufumbuzi na wanabuni msemo "Miafrika ndivyo...
Top