• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

usa

 1. C

  USA: COVID-19 Update 3/3/2020; Jumla ya wagonjwa 272,998, maambukizi mapya 28048, waliokufa Leo +934 Jumla ya Vifo 7004

  Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu wenzetu mjifunze kuwa adui yetu si sisi kwa sisi binadamu adui yetu ni yule asiyeonekana Marekani...
 2. J

  Je, Corona itabadilisha Siasa za Tanzania maana imepiga kuanzia Vatican, UK, USA, Uchina hadi Ujerumani?

  Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo. Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June. Natafakari tu wakuu. Maendeleo hayana vyama!
 3. simplemind

  Corona inazidi kutikisa -Marekani imezuia usafiri kutoka bara la ulaya.

  Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula. NBA imesitishwa.
 4. Bundewe

  Do you know that America worship their own secret GOD?

  Great thinkers! I heard someone saying that America as a nation has its own secret GOD. Looking from its dollar note, there are words IN GOD WE TRUST right at the middle. They are not referring to God in heaven (that most of us know)but G = Gold O = Oil D = Diamond That's why if you mess up with...
 5. N

  Kamishna Mkuu TRA Dr. Edwin P. Mhede, awanasa Wachina waliotaka kumpa rushwa ya dola 5,000/=. Wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 1 kila mmoja

  Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
 6. J

  Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

  Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
 7. Kichuguu

  USA: Uchaguzi 2020

  Mbio za uchaguzi wa wa marekani kumchagua rais, wabunge congress wote 435 na maseneta 35 kati ya 100 zimeanza kuwapa nguvu bainba ya Democrats na Republicans. Kwa sasa hivi Democrat ina wabunge 232 wakati republican inao 197; kwa jumla Democrat imeposhateza mbunge mmoja aliyehama kuwa...
 8. N

  Hivi kwa nini Trump ana outsmart watu wengi ?media combine Democratic Party

  Russian collusion,impeachment ( Ukraine scandal ) .Trump ameishia kidedea Democratic Party na member of the media wamechanganyikiwa .Sasa Hivi hamna cha kumfanya .Wafanye nini haswa Trump ashindwe
 9. Barbarosa

  Kwa nini Puerto Rico sio tajiri kama USA?

  Kwanini? Puerto Rico ni sehemu ya USA lakini ni kama third World fulani ukilinganisha na USA, au kwa nini Mexico, Brazil au Argentina sio tajiri kama USA na Canada? Kwa nini India sio matajiri kama China? Kwanini Sub Saharan Africa siyo relatively well off kama North Africa? Kwanini Ireland...
 10. Barbarosa

  Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

  Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...
 11. Sky Eclat

  Siku yangu ya kwanza kwenda USA yaliyonisibu

  Nilikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilipata mualiko kutoka kwa mwanafamilia. Niliingia American Embassy nikajaza fomu wakati huo kila kitu kilikua manually. Baada ya kujaza fomu na kuikabidhi na passport yangu niliitwa dirishani na mama wa Kihindi. Aliniuliza maswali mengi ya course...
 12. jingalao

  Is USA pushing Tanzania to adopt her title IX of education amendment(1972)??

  Why is USA trying to intimidate Tanzania sovereignity by imposing laws suitable for USA to be adopted in Tanzania? Is this acceptable in the eyes of international community? Every Nation is free to make her own laws and regulations according to the natural existing circumstances. Tanzania...
 13. No retreat no surrender

  Kwani marekani (USA) kuna nini cha kutishia watu wasiende?

  Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k. Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia...
 14. Echililo

  Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

  Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
 15. D

  Bunge letu litoe tamko kuwa USA sio mbinguni, kwanini wampige mtoto wakati baba yupo?

  Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?. Bunge letu naliomba litoe tamko...
 16. Synthesizer

  Nini maana ya Makonda ‘kuwanyima watu haki ya kuishi’ kunakosemwa na serikali ya Marekani?

  Katika sababu zilizotajwa kwa Makonda kuzuiliwa kwenda Marekani ni "kuwanyima watu haki ya kuishi na usalama wao" Hi ni sentensi nzito kwa watu wanaofikiria mambo kwa umakini, kwa kuwa unapomnyima mtu haki ya kuishi ina maana huyo mtu haishi tena, hayuko hai tena kwa kuwa umeondoa haki yake ya...
 17. hayaland

  Ubalozi wa USA Tanzania unahusika katika vikwazo hivi

  Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea. Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
 18. DocJayGroup

  Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

  Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
 19. superbug

  Thanks USA, God bless you

  USA you are truly a just society I have started this thread so that you can see our happy reactions on what you have done today on these people who deliberately insults our constitution here in Tanzania. At first we thought our top leaders would respect rule of law and diginity of human kind...
Top