kilimo tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hivi wakulima waliikosea nini nchi hii? Ni watu wanaoonekana hawana thamani hata kidogo!

    Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa. Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
  2. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  3. MrfursaTZA

    Kilimo Tanzania: Ufugaji na Kilimo kwa Ajili ya Malisho ya Mifugo

    Utangulizi Tanzania ina nafasi kubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji. Kwa matumizi bora ya rasilimali hizi, wakulima na wafugaji wanaweza kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. Makala hii itaangazia ufugaji wa kibiashara wa kuku, ng'ombe, nguruwe, na mbuzi, pamoja na kilimo cha mazao...
  4. K

    Kukuza uchumi wa nchi yetu ya Tanzania kupitia kilimo

    Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Tanzania. Kilimo kinahakikisha upatikanaji wa chakula nchini na pia tunaweza kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo. Zifuatazo ni njia za kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo: Matumizi mazuri ya ardhi: Tanzania ni nchi iliyobalikiwa kuwa na eneo kubwa...
Back
Top Bottom