mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili.

    Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda. Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM UNAVYOZIDI KUWAUMBUA WALIOPOTOSHA KWAMBA HAUTAKUA NA TIJA, MAPATO YAPANDA KARIBU MARA MBILI.

    UCHAMBUZI KWENYE GAZETI LA UHURU, GAZETI NAMBA MOJA KWA UKUBWA NA UKONGWE TANZANIA. 📌Baada ya uwekezaji huu sasa Bandari ya Dar yatajwa na Benki ya Dunia kuwa Namba moja kwa ubora na ufanisi Afrika Mashariki na Kati hadi Kusini ikizishinda Bandari zingine kama Lamu, Mombasa, Durban, Beira...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  5. K

    JamiiForums Tanzania Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar?

    Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na madereva wamaliza mgomo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
  11. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nilitolewa kijasho na ntoto wa afu mbili

    Unajua tena nilikuwa mamkoa . Kijiji chote wanajua nzee nimetoka Dar. Basi nilibadilisha mpaka tembea yangu, Maisha yalikuwa mazuri kila ntu anataka kuwa karibu na nzee wa Dar. Huku na kule baada ya kazi jioni tunajumuika kilabuni...tunakunywa pombe za nafaka waweza kuziita za machicha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongereni JKCI:Mtoto wa siku mbili afanyiwa upasuaji!!

    Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya. Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Dalili mbili kuwa hatima yako ni kuwa Mtu Mkubwa na mkuu (Greatness)

    First, You never fit in Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako. Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa CCM ni dude kubwa kwa kilugha

    Ni wazi sasa CCM ni dude kubwa kwa kilugha "POSEIDON" Deogratius Ndenjembi kaula aisee nabubujikwa na machozi ya furaha huyu jamaa nilisoma naye
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa mwendokasi unakata fedha mara mbili kwenye kituo kimoja kimakosa

    Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Victor Lustig: Tapeli mkubwa aliyeitikisa Paris kwa kuuza mnara wa (Eiffel) mara mbili kama chuma chakavu

    Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili. Mwaka 1925, Lustig alijifanya kuwa afisa wa serikali ya Ufaransa na kuwaambia wafanyabiashara wa chuma chakavu...
  20. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 vs Mishangazi

    Nasimama na mishangazi asee inajua inajua tena, Niko tayari kuoa mshangazi ndio vitu vyangu asee nipe nikupe
Back
Top Bottom