chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term [tsąmą' ǫŋwįkeyi], meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
 1. S

  Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwwa kutatua tatizo la maji na umeme.!

  Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana...
 2. Lycaon pictus

  Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

  Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
 3. Elli

  Kutoka Chama Cha Mapinduzi Hadi chama Cha Mimbuzi

  Next time tafuta tu Mgeni wa kawaida. Huku kuigaiga mambo huku haya Leo mmeitwa Mbuzi. Ila kweli huenda nyie ni mbuzi
 4. Execute

  Rais Samia aingilia kati baada ya mgeni kutamka kwamba CCM ni Chama Cha Mambuzi

  Huyu mgeni atakuwa ni muongeaji wa kireno.
 5. Gladiator4440

  Video: Chama cha mambuzi

  Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya...
 6. K

  Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
 7. kavulata

  Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

  Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
 8. Chizi Maarifa

  Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

  Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
 9. S

  Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

  Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu. Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii...
 10. N

  Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

  Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
 11. MamaSamia2025

  Hata kikishika dola bado CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani

  Je, CHADEMA ni CCM B? Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
 12. Lycaon pictus

  Kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni kupotosha

  Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
 13. NetMaster

  Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

  Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam, Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!. Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
 14. OKW BOBAN SUNZU

  Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

  Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀 Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu...
 15. B

  Freeman Mbowe awapa wazee jukumu la kukipigania chama

  Wajumbe mia tano kutoka kanda, majimbo na mabaraza kuhudhuria mkutano mkuu pia wageni waalikwa kutoka nje walio vyama rafiki wa CHADEMA kuhudhuria kikao hicho. CHADEMA kulenga chaguzi za 2024 na 2025 hakuna kupumzika
 16. Heavy User

  Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

  Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
 17. Jabali la Siasa

  PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

  Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
 18. Idugunde

  Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

  Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
 19. E

  Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

  Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
 20. GENTAMYCINE

  Kwa kumroga Phiri asifunge tena wamefanikiwa, sasa wanakamilisha la Chama kuumizwa ili Simba SC idhoofike

  Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC. Taarifa niliyoipata na kuhakikishiwa kutoka Yanga SC ni kwamba, kwa kuona jinsi mchezaji Moses Phiri anavyokuja kasi na...
Top Bottom