Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani, kuhojiana ndani ya vikao vya chama hakupaswi kuwa fimbo kwa wale wanaohoji maswala kadhaa wa kadhaa,
Basi kwa hili,tunaomba wale wote...
Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa.
Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
Kuna project naiona ya kubomoa majengo ya zamani ya umma (NHC) na kujenga majengo mengine .KARIAKOO-DSM
Tukumbuke haya majengo mengi yalitaifishwa na Baba wa taifa ili yamilikiwe na umma.
Nitahoji mnajenga majengo ya umma au siyo ya umma.
Wameuza viwanja kwa gharama ya sh ngapi na pesa zipo...
Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star.
https://www.youtube.com/watch?v=BQqztrwJQP8
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.
Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa.
Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao.
Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi.
2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake.
3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc
TUAMKE...
Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa..............
Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi?
Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi?
Mungu ni nini na nani na yuko wapi?
Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu
Hawa wengine naona hamna kitu
Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu
Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA.
Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara.
Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.
Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs?
Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !.
Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari vireport " CCM yamfukuza aliyepinga kuvunjwa Kwa Katiba wakati wa zoezi za kuchagua Mgombea Urais'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.