mtazamo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mtazamo wenu elimu ya chuo inamanufaa yoyote?

    Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi, ukitegemea mshahara hupigi hatua Wanakula maisha ni wenye Mia ya mingi ya hela, wale ambao hela I...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huwa napenda kuwaambia rafiki zangu wayatazame maisha kwa mtazamo wa bungani mfano wa fisi wanavyomuua swala kikatili kwa kumuanza kumla akiwa hai

    HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo. Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani. Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu. Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani: Wadau Wahimiza Jamii Kubadili Mtazamo na Kuvunja Ukimya

    Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO). Lengo kuu la siku hii ni kuongeza uelewa wa umma kuhusu afya ya akili...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kati ya Utii wa Kidini, Athari za Kijiografia, na Mtazamo Huru wa Kitamaduni Duniani

    Utaratibu wa kushughulikia, kuhifadhi, na kuzika miili ya marehemu ni mada inayochochea mijadala mipana inayovuka mipaka ya kidini na kuingia katika nyanja za kijiografia, kihistoria, na kifalsafa. Ili kuwa na uelewa mpana na jumuishi, ni vyema uchambuzi huu ugawanywe katika maeneo makuu...
  7. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa watu zamani kwa mwanaume na mwanamke hata kiroho

    Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunachukia Watu? Mtazamo wa Carl Jung

    Kwa nini huwa tunawachukia watu fulani? Kwa nini mtu anaweza kukuambia kitu kidogo cha kukusaidia lakini ukakasirika na kumfutilia kabisa mbali na maisha yako? Nianze na hitimisho: Chuki kwa mtu, aghalabu, ni ujumbe wa mgogoro wa kihisia usiotatuliwa. Chuki ni njia ya mkato ya kupambana na zimwi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  12. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
  13. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  15. Emanuel Malembela

    JamiiForums Tanzania FURAHA AU AMANI? Mtazamo wa kiteolojia na kijamii

    FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru" Yn 8:32 Ni nini tofauti ya Furaha na Amani katika Taifa?,Je watawala na watawaliwa kwa...
  16. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanawake Kiasili Wana "Allergy" na Wanaume Wafupi? Huu Ni Mtazamo Wangu Tu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi? Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wanasema wanarinda Amani ya nchi alafu mseme nchi ni salama mnaelewekaje kwa mtazamo.

    Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
  20. Walletking

    JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
Back
Top Bottom