iphone

 1. Albert_2010

  Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

  Sold
 2. ANKA

  Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

  Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
 3. sajjad54

  Can I send my photo from my iPhone?

  Can I send my photos from my iPhone to my PC with shareit?
 4. beth

  Kwanini ni muhimu ku-restart simu yako angalau mara 1 kwa wiki

  Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
 5. kyesha

  WhatsApp na iPhone 4

  Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa. Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2 Wataalamu Nielezeni jinsi ya kuinstall
 6. L

  Nimekuta email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone (iPhone 6)" naomba msaada

  Habarini wadau Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.
 7. Mlendamboga

  Natafuta kioo cha iphone 6plus

  Natafuta kioo cha iphone 6plus pamoja na bei yake if any Natanguliza shukrani
Top