Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa.
Katika Ibada hiyo...
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼
Kunogile Ukae
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
🕰️ 4:00 Asubuhi.
📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026.
Ratiba ya Ziara
1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA.
2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo.
3. Kuzungumza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Mama Maria Nyerere, wameshiriki Misa Takatifu ya Kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026, katika Kanisa Kuu la...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa
Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 9, 2026 amezungumza na wawekezaji mbalimbali walioshiriki katika Kongamano la Kimkakati la Uwekezaji na Masoko ya Fedha, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Citi Bank nchini Uingereza.
Katika Kongamano hilo, Dkt. Mwigulu amewaeleza wawekezaji...
Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo...
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulumwigulu nchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulumwigulu nchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU.
Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote.
Dkt. Mwigulu Nchemba...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulumwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
KUNA watu wamepewa kandarasi ya kuendeza propaganda na porojo za kuwa Waziri Mkuu sijui kapigwa picha akiwa kalala kitandani sijui blah blah .
KWANZA hawa wanaosema eti wana video zingine mbaya zaidi hawana hata moja kwa kuwa hawana busara na upendo huo wa kuogopa kupost hizi video wanazoita...
Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).?
Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?🙈🙈🙈
Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?
Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado wanabaki na akili za kimasikini. Wanafikiri utajiri ni kulimbikiza mali na kuiba lakini wanasahau...
Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili.
“Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.