watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  4. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Polisi wa India wanagonga kwelikweli.Mtuhumiwa anagongwa huku akipelekwa alipotendea uhalifu

    Mtuhumiwa anafungwa kamba anapelekwa eneo alilofanyia uhalifu huku akigongwa kweli kweli.ngekuwa bongo hii sijui ingekuwaje
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Oparesheni ya polisi Kilimanjaro yanasa watuhumiwa 242 wa makosa mbali mbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Polisi kuendelea kushikilia mali za watuhumiwa hata kesi inapoisha - Sheria inasemaje?

    Malalamiko ya baadhi ya wananchi na taasisi kuhusu mali zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wakati wa kukamatwa yameibua mjadala kuhusu mipaka ya mamlaka ya polisi katika kushikilia mali zinazodaiwa kuwa sehemu ya ushahidi wa uchunguzi wa makosa ya jinai. Malalamiko ya hivi karibuni yametolewa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 15 Wa Genge Wakamatwa Kisumu, Silaha Za Kijamii Zanaswa

    Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu. Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

    Umofia kwenu Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Wakamatwa Kwa Mauaji Ya Aliyekuwa Diwani Nathan Wasama

    Maafisa wa Upelelezi wa Jinai (DCI) wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na mauaji ya aliyekuwa Diwani wa Chesikaki, Nathan Masai Wasama, huko Cheptais, Kaunti ya Bungoma. Wasama, ambaye pia alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha Mt Elgon mwaka 2027...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Kesi Ya Mauaji Ya Dr Mutiso Kufikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026. Watatu hao ni afisa wa polisi, dereva wa bodaboda na mtu anayedaiwa kuwa kiungo muhimu katika njama hiyo. Wachunguzi wanataka...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa CWT wasubiri uamuzi wa mahakama

    VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi inayowakabili. Waliosimamishwa ni aliyekuwa Rais wa CWT, Leah Ulaya, Rais Dkt. Suleiman Ikomba, Maganga...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha: Watuhumiwa 176 Wahukumiwa kwa Makosa ya Jinai Tangu Aprili 18, 2026

    Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa wengine 34 wa uhaini wafutiwa kesi Tunduma

    Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya Wilaya ya Momba Ndg. Simon Pelesi alisema kuwa, zoezi hili la watuhumiwa hawa kupata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 20 wa uhaini waachiwa huru, Niffer kuendelea kusota rumande

    Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025. Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya, ambapo wakili...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
Back
Top Bottom