Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi:
Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF
Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya
I1li kutambua kweli kuku wanatumia macho tu kutofautisha chakula au wananusa harufu pia.
Nilichukua nylon ambayo ilikua imewekewa...
Huo NDIO ukweli.
Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.
Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.
Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
Huu uzi nimeandika nikiwa kwenye dala dala,kwahiyo kwa wale ambao mnasema ni vigumu kuona mtu akifungua JF akiwa public,basi mimi sio kwamba nafungua tu bali hata kuandika uzi naandika pia.
Wazo la kuandika limenijia baada ya kuona mdada amebandika kucha zilizo nakishiwa na gold,nikajikuta...
Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60 hadi 70 au zaidi, jambo linalochangia kuongezeka kwa idadi yao.
Kutokana na kutokuwepo kwa...
CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri.
CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa...
Anonymous (d932)
Thread
afya
diploma
hawana
kufeli
leseni
maana
mitihani
private
uwezo
vyuo
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais.
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki!
Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5.
Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...
Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo.
Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada mwilini wako unao ila unapatikana au kufunguka pale tu unapkuwa kwenye hatari zaidi, hizi hapaa ni...
Huyu mtu ni mashine
Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri.
Kwa uwezo wake mkubwa kabisa wa hali ya juu anaweza hata kuwa Waziri na Katibu Mkuu kwa wakati mmoja.
#Chapa watanganyika fimbo...
This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one.
Key insights from this perspective...
Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja ilikuwa vitu ambavyo vilitokea mbele ya watu wengine pia.
Mfano wa kwanza ulikuwa mvua.
Kuna siku...
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.