heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa Faragha: Usishiriki Bila Ruhusa

    Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba umeona ‘ameposti’ WhatsApp haimaanishi amekuruhusu kuwaonesha na wengine bila ruhusa yake. Mtu...
  2. life255

    JamiiForums Tanzania JF, Kimaisha Nimepata Somo Kubwa

    Sijapata Msaada JF, Ila Kimaisha Nimepata Somo Kubwa Kwa muda nimekuwa nikieleza changamoto zangu hapa JF, nikitarajia labda kuna mtu atanisaidia kwa namna yoyote. Ukweli ni kwamba, msaada wa moja kwa moja sijaupata. Lakini sitaki kusema JF haijanisaidia. Nimejifunza kitu kikubwa: maisha...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anahitaji pesa, tofauti ni kiwango cha ukichaa (radical), kiasi cha utu tulicho tayari kukivuka na heshima tuliyo tayari kuipoteza.

    kuna baadhi ya familia au sehemu, kama huna pesa huonekani kabisa kama mtu; uwepo wako hauna uzito na sauti yako haina maana. Pengine unaweza ukatoka safari ndefu ya mbali na yenye uchovu, lakini usichinjiwe hata jogoo wa kukukaribisha, wala usipokelewe kwa furaha. Hakuna anayejali afya yako au...
  7. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Je, tunashuhudia heshima kwa Rais, au utamaduni wa political sycophancy unaojificha nyuma ya mila na desturi?

    Wasalaam Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake. Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna ubishi. Rais naye ni binadamu, ana majonzi, na ni jambo jema viongozi wenzake kwenda kumfariji. Lakini...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hizi Junction za huku mjini inabidi uziendee kwa heshima ukileta wenge inakula kwako

    Kamata mataa.. Tazara.. Fire.. Taa zote za Morogoro Road No one cares kila mtu ana haraka hakuna kuheshimu mataa mwendo wa kuviziana hizi sehemu ndio zinafanya kuendesha pikipiki dsm iwe risk x2. Ukizubaa inakula kwako.
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo. Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli alimuibua Deo Ndenjembi hii ni heshima ya kipekee

    Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo. Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa.. Kilichofuatia ni historia
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shibuda ‘Drogba’ amuomba Nchimbi ajitafakari, ajiuzulu kwa heshima kama Malecela au CCM kimfanyie uamuzi kama Aboud Jumbe

    MWANACHAMA mkongwe wa TANU na CCM na Mbunge mstaafu wa Maswa, Mzee John Magale Shibuda maarufu ‘Drogba’, amemtaka Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, kujitafakari kati ya mambo mawili kujiuzulu kwa heshima kama alivyofanya John Samwel Malecela na kubaki ndani ya...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Umasikini Wetu, Kamwe Tusikubali Kuwanyenyekea Matajiri Wanaotunyanyasha kwa Jeuri ya Pesa Zao!, Ili Kujenga Heshima, Tuwe Masikini Jeuri?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna masikini wa aina mbili, kuna masikini masikini wa kutupwa na kuna masikini jeuri. Yule masikini masikini...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je Mzee Butiku anastahili heshima?

    Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA. Huyu mzee Butiku. Anastahili...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

  19. papag

    JamiiForums Tanzania Heshima ya Shahada yako

    SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology. Mhadhiri wetu alikuwa Profesa Samwel Mshana, ambaye kwa sasa ni marehemu. Alikuwa mzee mwenye busara na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanawake kukosa heshima kwa waume zao nini kipo nyuma ya haya yote?

    Wakuu natumai mu wazima wa afya njema. Awali ya yote ningependa niwape pole wanaume wenzangu mnaopambana kwaajili ya familia zenu ila mchango wenu unaishia kulipwa 1.Kiburi na kunyimwa unyumba kutoka kwa mwanamke 2.Kuchapiwa 3.Kununiwa na kuchukiwa bila sababu za msingi 4.Mke kuchepuka na...
Back
Top Bottom