mwanamke

 1. M

  Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

  Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
 2. Digging deeper

  Mwanamke mzuri nimempata

  Habari wana MMU Je, wewe mwanamke wa JF ni angle gani upo vizuri katika mahusiano kama vile kupika vizuri, kujari, kupiga vizinga na nyengine nyingi na wanaume ni angle gani unatamani sana kwa mwanamke wako awe vizuri sana kuliko zengine katika mahusiano.
 3. M

  Rais Samia atajwa kiongozi mwanamke mwenye ushawishi duniani

  Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
 4. Ben Zen Tarot

  Mambo matano (5) ambayo humfanya mwanaume ampende na kumthamini sana mwanamke wake

  1) UTII Kila mwanaume unaye muona huwa anapenda mwanamke wake awe na utii yaani akiambiwa Jambo basi asiwe mkaidi hata Kama siyo sahihi basi kitu Cha kwanza aoneshe kukubali kusikiliza halafu kwa baadaye ndipo aje na wazo lake ili mwafaka upatikane. Wanaume tunapenda wanawake ambao wanatii...
 5. inama

  Huyu mwanamke anafaa kuwa naye kwa muda mrefu?

  Habarin wana JF Kilichonileta hapa nikuhusu huyu mwanamke (pisi). Juzi katika kutimiza ratiba zangu nilibaatika kuchukua namba kwa wanawake wawili tofauti lengo niili mmoja akinichomolea betri nbakiwe nawakunipooza. Maajabu niliyokutana nayo nikwamba katika hao wawili mmoja alienda kasafari...
 6. Zero IQ

  Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

  Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu, Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye...
 7. Dj DON NALIMISON

  Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

  Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
 8. Kijana Wa Dar

  Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

  Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
 9. Digging deeper

  Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

  Habari wana MMU je, wewe mwanaume wa JF ni mwanamke gani wa JF ungependa kukutana naye hivyo hivyo kwa mwanamke ni mwanaume gani wa JF ungetamani kukutana naye?
 10. kinywanyuku

  Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

  Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga picha sina hata picha yake ukimuomba mpige picha anakuwa mkali japo huduma zote natoa hata akisuka...
 11. S

  Natafuta mwanamke

  Habari zenu natafuta mpenzi | mchumba wa kike awe muislam na awe mkweli na muaminifu umri 23_30 awe anaishi dar aliopo tayari naomba tuwasiliane maisha kushirikiana na kuaminiana ili kuyajenga na sio kuharibiana na kukomoana 0716912372- 0629031335
 12. nyboma

  Kweli kuishi na watu kuna raha yake, leo yametimia nimekutana na mwanamke tuliopotezana nae ughaibuni

  Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne. Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama mnavyofahamu malipo ya posho huwa katika dola pale mnaposafiri na kiongozi mkubwa katika big four na...
 13. Nakadori

  Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

  Wanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo midomo, kauli chafu na gubu ni matokeo ya mwanaume kuanza tabia chafu, kutomjali mke na kumuoneshea...
 14. Wild sniper

  Nini sababu ya mwanaume kuwa provider wa mwanamke?

  Moja kwa moja kwenye mada, Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini? Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider...
 15. EL ELYON

  Nilimfadhili huyu mwanamke lakini aliyoyatenda ni ajabu

  Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana huu yenu. Wakati NIPO chuo mwaka WA Kwanza nilipata mawasiliano na dada mmoja wa kiha ambaye tulipotezana tukiwa a level alihama shule nilitokea kumpenda. Ila ye alikuwa chuo kingine mkoa mwingine AMBAKO huko alipokuwa ndo kulikuwa...
 16. S

  Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

  Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako. Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
 17. kilamba lamba

  Mwanamke hufatiliwa sana na Mwanaume asiyeweza kumuacha

  Natumai mu wazima humu ndani, Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo nilichokula ila nina ushahidi nalo kwangu na washkaji na marafiki zangu kwa ujumla. Mwanamke...
 18. JOHNGERVAS

  Afrika Kusini: Mwanamke adaiwa kujipatia fedha kwa kuua ndugu

  Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi. Swali likawa, Rosemary ni nani? Historia yake ikoje? Kwa nini aliua ndugu zake? Wakati viulizo vikiwa...
 19. Pile F

  Ni Ipi Heshima ya Mwanamke

  Ndugu Wanajamvi naamini mpo vyema wengine busy na mihangaiko Mola awawekee wepesi wengine pia salama kabisa, naenda kwenye mada mapema kabisa. Wakati Kipindi cha kwanza kimeisha na wakati wa mapumziko Mechi ya Simba na Dodoma Jiji leo, tumeshangaa sana. Tukiwa karibu wanaume 18 kwenye hii...
 20. mama D

  Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

  Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake. Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati...
Top Bottom