Habari.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA".
Awe na miaka kati ya 22 hadi 33.
NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa njia ya pm ili tufahamiane na kuona kama tunaweza kutengeneza mahusiano bora na hatimaye tuweze...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...
kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa.
Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume.
kamatana! shika box la...
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
Habari ya mjini sasa hivi ni kesi ya Mheshimiwa Lissu huko kwq pilato
Wengi tunafuatilia hii kesi,na tunaona minyukano ya maswali,wakati mwingine unaweza hata kujiuliza hivi haya maswali yana maana gani au umuhimu wake ni upi
Ebu tujielimishe sote kwa pamoja
Cross-examination (mahojiano ya...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand,
Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa.
Tusikubali ulaghai unaopikwa
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.
Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.
Okay sawa, uhenda nia...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo.
Amesema hayo katika mahojiano...
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA
Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini.
Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo,
Kwa miaka zaidi...
Habari zenu
Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾
Asanteni sana
mwingine amewasha data, mwingine ame connect Wi-Fi na wengine wakawasha na vpn juu kuingia kwenye mitandao mbalimbali.
Je, lengo hasa la kuingia online lilikua ni lipi au ulikua unakuja kugungua nini ?
Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu
Ila wenzetu nyie mnakula raha tu
=============
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Mei 7,2026 imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma...
Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae.
baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu analazimika kutumia emoji moja wapo kati ya hizo itakayo fanania na wazo lake ili iwe m-badala
je...
Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu?
Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi?
Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.