Mrembo Miss Global Tanzania 2026 ROSSIE UISSO
Leo anasafiri Kuelekea Nchini Thailand kuiwakilisha Tanzania Kwenye Mashindano Ya urembo kimataifa
Rosemary Uiso, mshindi wa Miss Global kwenye shindano la Miss Grand Tanzania, ameondoka nchini kuelekea Thailand ambapo October 10,2026, anatarajiwa...