Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetangaza kuendelea na juhudi za kurejesha KSh170 milioni kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha hatia yake katika kesi ya ufisadi na kurejesha mashtaka ya utakatishaji fedha.
Katika...
Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, maarufu Baba yao, mkewe Susan Wangari Ndungu na washirika wao wamepata pigo tena baada ya Mahakama Kuu kuthibitisha hukumu zao katika rufaa iliyohusiana na ufisadi wa mkataba wa barabara wa shilingi milioni 588.
Katika uamuzi uliotolewa...
baada
corruption
eacc kenya
fedha
gerezani
kiambu
kifungo
kurejesha
kurudi
kutoka
kuu
mahakamamahakama kuu
mashtaka
mlango
tena
uamuzi
utakatishaji fedha
waititu
yathibitisha
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza.
Kwa...
Mzozo kuhusu uvunaji wa miti katika Msitu wa Aberdare umechukua sura mpya baada ya lori lililokuwa limebeba magogo kuzuiwa na Mbunge wa Kipipiri Wanjiku Muhia pamoja na Wananchi wa eneo hilo.
Tukio hilo lilitokea saa chache baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi ya Ol Kalou kutoa amri ya...
Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.
Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
Nimepita mahakama za mwanzo kama tatu wafanyakazi wote ni wapya. Hii ni policy ya sasa au ni coincidence!
Kama ni policy inasaidia nini maana pale ndio kiini cha rushwa nchini kote. Ni chuo cha namna ya kula rushwa
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita kumpa nafuu stahiki aliyekuwa CAG, Prof. Mussa Juma Assad, licha ya kuthibitisha rasmi kuwa...
Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
Baada ya miaka saba Mahakama ya Rufani ya Tanzania hatimaye imeweka nukta na kuthibitisha rasmi kuwa hatua ya kumwondoa madarakani aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Juma Assad, mnamo Novemba 2019, ilikuwa ya kimakosa na kinyume kabisa cha Katiba ya Nchi...
Tangu kuanzishwa operesheni za usafi ambazo zimegeuzwa kuwa za kukimbizana na Machinga hiyo mahakama ndio imegeuzwa machinjioni.
Watu wanakamatwa na kupelekwa hapo mara utasikia wanataka laki 5, mara laki 4 yaani haijulikani faini halali ni ipi! Ni ujanja ujanja wa kitapeli tu ndio unaoendelea...
Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee
Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu
Anyways...
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo.
Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh.
Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!!
================
Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga.
DPP na...
adhabu
basi
court
final
hana
hatia
high
high court
hukumu
hukumu ya kifo
jamhuri
jela
katika
kesi
kesi ya uhaini
kifo
kifungo
kituko
kushindwa
lissu
mahakama
miaka
tundu
tundu lissu
uhaini
uhaini wa lissu
waiomba
yakubali
Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru
Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani:
Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
Msishangae Mkurugenzi wa mashtaka kufuta mashitaka kabla ya maamuzi kuokoa mahakama. Kwa kesi ya kijinga hivyo serikali haiwezi kushinda. Wakipewa ushindi na majaji kila mtu atasema kutokana na ushahidi huu majaji wamekuwa machawa.
Serikali ikishidwa wataona aibu hivyo kwa ushahidi huu na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.