kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NILITAKA KUPOTEZA PESA KUTOP-UP FROM PIXEL 8A TO PIXEL 9 PRO LAKINI AI IMENIFAA SANA, THANKS AI

    Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
  3. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kupoteza Ubinafsi Halisi: Persona na Wazazi

    Tunazaliwa tukiwa ‘sisi.’ Orijino. Hatuogopi kukosea. Hatuogopi kupenda. Hatudanganyi. Hatuumizi. Tunadadisi. Tunafikiri. Tunauliza. Tunatafuta majibu. Hata hivyo, imani kuwa ni salama kuwa ‘sisi’ halisi iko mikononi mwa watu wazima tunaoishi nao. Hawa, kwa wengi wetu, ni wazazi tunaowategemea...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hili pambano nani anaweza kupoteza?

    pambano la kutisha chini ya maji. 🌊 Honey badger anajulikana kwa ujasiri wake wa ajabu—mnyama ambaye ni vigumu kumtisha hata anapokabiliana na hatari kubwa. Lakini safari hii, anakutana na adui katika mazingira ambayo si yake. Chini ya maji, kila kitu kinabadilika. Upande mmoja kuna mnyama...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi angalia police station na ufanyaji kazi . Iga vitu vizuri kama hivi na si kupoteza, kupiga watu, kuua etc etc

    Kwa nia NJEMA tu. Ona wenzako huko Ethiopia.
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hauwezi kushindwa lolote unapokuwa peke yako: Jizoeshe kuingia ndani yako hauna mshindani wala cha kupoteza

    Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi. Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza thamani, ameamua kunitafuta

    Kuna mpenzi wangu mmoja nilimpenda sana, kuliko yeye alivyonipenda mimi. Upendo ukawa unaongezeka zaidi, pale ninapokuwa nampa vijisenti. Baada ya kuona anatumia visalio vyangu vingi, nami nikawa namkomoa kwenye shoo, nikawa nampa shoo kali. Iliyopelekea, akawa ananikwepa kwepa pale...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni suala baya sana kama taifa, utekaji na kupoteza uhai wa raia siyo suruhu ya matatizo ya taifa letu

    Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi. Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao. Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ina maigizo mengi na pesa za serikali zinavyotumika kupoteza ukweli

    Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital. Baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital. Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri wa sanii na wemepeleka hospital sijui ya nani. Subirini muone kuanzia huu uzi mpaka mkifika 2030...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupoteza Scholarships, za UK, Canada na Australia, endapo itatimuliwa Common wealth

    MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi. Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mambo ya kupoteza makamanda wa CHADEMA yataisha lini?

    Huyu naye inasakiwa amepotezwa. 👇 Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo imetolewa leo, Julius Mbalile Erick alitekwa na kupotea katika...
  19. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

    ..
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa, ni kitu gani kingine kikubwa ulichowahi kupoteza ukapunguza kubeti?

    Wawekezaji wenzangu mko poa? Ilikuwa usiku wa fainali ya UEFA mwaka 2026, nilipoweka dau la mshahara wangu wote wa mwezi nikiwa na uhakika wa kushinda mamilioni. Baada ya filimbi ya mwisho na timu yangu kufungwa, nilibaki nimepoza macho nikiiangalia simu, huku nikijua sina hata senti ya...
Back
Top Bottom