uwezo

  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  2. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

    Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani. Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  4. Sci-Fi

    JamiiForums Tanzania Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  5. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Bundi si mchawi, ana uwezo mkubwa wa kunusa seli zilizokufa

    Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa. Je, ukweli wake ni upi?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  9. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu uwezo wa CCM kuongoza nchi

    Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  12. Ammarah

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwezo wa Afrika kwa Ukuaji na Maendeleo

    UTANGULIZI Katika dunia ya leo viongozi wengi hawawajibiki sana majukumu yao, wanachosema ni tofauti na wanachofanya, hii ndiyo sababu watu wengi wanashindwa kuwaamini. Wengi wetu tunajua kuwa haiwezekani kuweka imani yako kwa mwanasiasa lakini kwa njia fulani sio watu wote sawa...
  13. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

    Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo. Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha Leo nimeona ameongea kwa hisia sana. --- "Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti Kuu, 2023-2024: Kodi kufutwa kwa kila line ya simu kulingana na uwezo wa kuweka salio

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio. "Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili...
  15. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

    Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee. ========================== TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA DP...
  16. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kufungua Uwezo wa Sekta ya Misitu Tanzania kwa ajili ya Ongezeko la Mauzo ya nje na Mapato

    Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

    Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

    Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua...
  20. Beberu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza uwezo wako wakati katika tendo la ndoa

    Habari ya wakati huu mashabiki wa Azam na Yanga, ninyi wengine mtapewa salamu zenu na Prince Dube Mfalme wa Bulawayo Leo nataka niongee na wanaume, kama kawaida beberu wenu J nakuja na mada ya jinsi ya kuwasaidia wanaume kuongeza nguvu za kiume, zifuatazo ni hatua hizo tano zitakazo kusaidia...
Back
Top Bottom