nape

 1. D

  Nape: Serikali hii inaumiza sana wakulima! Azimwa alipotaka kurejea Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015

  Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Utamaduni mheshimiwa Nape Moses Nnauye Leo amefunguka kuwa serikali imekuwa chanzo kikubwa cha kuumiza wakulima nchini. Ameongea hayo alipokuwa akichangia muswada wa Bajeti ya wizara ya kilimo na Ufugaji. "Hivi sasa gunia la mahindi ni elfu 15 kule Ruvuma"...
 2. G

  Mashindano ya urembo sio ajira bali ni wito

  Tofauti na washiriki na washindi wa mashindano ya urembo katika mataifa mengine duniani, hapa Tanzania iko dhana potofu miongoni wa washiriki,waandaaji na hata mamlaka za usiamizi, kuwa ushiriki wa mashindano au ushindi wa mataji ya urembo ni ajira/ Dahana na imani hiyo potofu,iekuwa ni moja ya...
 3. C

  VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

  Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma akiongea baada ya kutoka hospitali ya Mwananyamala. Amesema yeye na wenzake ni wazima wa afya, kimwili na kiakili na kuwashukuru watanzania wote waliowapigania kipindi cha sintofahamu yao. Roma amesema kutokana na masuala ya makubaliano yao ya kuachiwa...
 4. ki2c

  Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

  Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni. Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia...
 5. Informer

  Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

  Nani angeamini kuwa baada ya Rais kuitumikia nchi kwa miaka minne na kuweka miundo mbinu ya demokrasia bila kuiba hata shilingi moja angejikuta akifadhiliwa na mama yake kwenye mabanda? ========= Once upon a time, there was a 25-year-old Valentine Esegragbo Melvine Strasser, who took...
 6. M

  Upumbavu wa TBC,Wabunge na Serikali

  Ni aibu kubwa kwa nchi yenye watu milion 50 kupigania kuonesha bunge wazi, ambapo kimsingi ni haki ya wananchi kuona kinachoendelea ndani ya bunge lao. Lakini upumbavu mkubwa ni pale unaposikia eti bei ya kurusha live ni BILIONI MOJA KWA SAA. Huu ni uwendawazimu. Teknolojia wanayotumia TBC ni ya...