kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha asili ya Mnazi Mmoja: Jukwaa la ana kwa ana la kustahimiliana kifikra, kiimani na kisiasa (speaker's corner yetu?)

    Wakati nchi yetu ikipita kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kuelekea msimu wa maamuzi, tunapaswa kujiuliza ni kwa namna gani tunaweza kurasimisha uhuru wa kujieleza nje ya mitandao ya kijamii. Je, Bustani ya Mnazi Mmoja inaweza kuwa "Speaker's Corner" yetu ya kitaifa ambapo wananzengo...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Athari za Lagacy ya kisiasa ya Rais Samia kama Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Umebaki muda mfupi kabla ya mahalama haijatoa hukumu kwa ndugu Lissu. Ndugu Lissu anashitakiwa kwa makosa ya uhaini. Si lengo langu kuingilia mahakama na sitofanya hivyo lakini najaribu kuiangalia possibility ya hukumu inayoweza kutokea katika worst case scenario na athari zake kwa Legacy ya...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya maandamano na vurugu za kisiasa Tanzania ni hii

    Habari ndugu zangu Watanzania Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani Ripoti ya tume ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dorothy Manka J. Semu: Tuungane kupigania Katiba mpya na kukabiliana na mkwamo wa kisiasa nchini

    TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa mchakato wa Katiba Mpya ya wananchi. Tunaamini kuwa mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini hauwezi...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, leo Septemba 7, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=f3NbH_2EkqQ Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 wanakutana kuzungumza kuhusu hali ya demokrasia Tanzania. na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ametangaza mpango wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kupunguza mvutano wa kisiasa nchini humo, ambao umeongezeka kutokana na muswada ambao wakosoaji wanadai unaweza kumuwezesha kutafuta muhula wa tatu wa urais...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kushinda kesi hii ambayo mzani wa kisheria umepokwa na mamlaka ya kisiasa

    Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
  18. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Anguko la Dr. Emmanuel Nchimbi na Somo la "Trojan Horse": Alikosea wapi Kisiasa?

    I. Kupanda Chati kwa Nchimbi Kupanda kwa Dr. Emmanuel John Nchimbi hadi kufikia nafasi ya Makamu wa Rais kuliashiria kilele cha safari ndefu ya kisiasa ndani ya mfumo na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Yeye hakuwa mgeni wala mtu wa nje aliyekuwa anapambana na mfumo; alikuwa kada mzoefu...
  19. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuanguka kwa Sayansi ya Misri ya Kale: Je, Ni Sababu za Kidini, Kisiasa, au Wazungu Walituibia Historia Yetu?

    Wakuu salamu, Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
Back
Top Bottom