Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda - Katavi.
🗓️ Agosti 30, 2026.
————————————————...
askofu
baba
baba askofu
kanisa
kuanzia
maendeleo
maendeleo ya nchi
mchango
mkuu
mpaka
mwanzo
nchi
nchi yetu
serikali
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu nchemba
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi .
Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
Je,
ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa?
Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia,
anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu.
Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo.
Kamanda wa Jeshi la...
Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi?
Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
Tusiogope kupata kitu
Kuna watoto
First born yeye ilikuwa sigara na safari larger
Second born horizontal engineering
Third born ilikuwa Kilimanjaro larger
Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi
Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni
Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL.
Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1???
Je...
Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu...
https://youtu.be/N6O2ncUKvlg?si=nuAR6g3nr-ZE7494
Hii ndio ngoma pekee naweza kuiimba mashairi yake mwanzo mwisho yaani😆😆😆😆😆🤣..
I'm proud of myself yaani... Ukimaind it's up to yeah.
Wananchi wa Kata ya Mcharo, Wilaya ya Bunda, wanaomba mamlaka husika kuchunguza tuhuma za rushwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mcharo.
Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya wananchi hukosa haki kutokana na kushindwa kutoa rushwa. Pia kuna tuhuma kwamba baadhi ya wanawake wanaofuatilia mashauri yao...
CCM naendelea kuwakumbusha huu ni mwanzo tu mtalipia damu mlizomwaga za watanzania.
Nawakumbusha damu huwa inalipwa kwa damu huu ni mwanzo tu.
Nawashauri kabla ya mambo hayajakuwa mabaya zaidi vunjeni kichwa cha nyoka.kwa sababu tunajua mkuu wa haya yote yaani yule mstaafu.
NB:sio...
Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake.
Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu.
Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa.
2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha...
wanajulikana kama Wayahudi wa Ethiopia, ni jamii ya kale iliyodumisha imani ya Kiyahudi kwa karne nyingi katika maeneo ya kaskazini mwa Ethiopia. Je, hawa ndio Waisraeli wa mwanzo?
Kihistoria, Beta Israel waliishi katika maeneo ya Gondar na Tigray. Kwa muda mrefu walikuwa wametengwa na jamii...
Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita.
Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa hata ukisikia mabomu yamerushwa Gaza hakuna jipya,rockets zimerushwa Israel hakuna jipya.
Hivyo...
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC na...
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi.
Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
Anonymous
Thread
goba
maji
mara
mitaa
mwaka
mwanzo
wakazi
wakazi wa goba
Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026:
2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit")
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.