mawazo

  1. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
  3. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mawazo ya usiku

    USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje. Kuna muda mtu...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  6. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️ Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake? Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine? Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mello aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu ,wengine si wa kuamini, Roma katofautiana kidogo mawazo na mange kamtisha kumreport wam deport,

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuyalinde mawazo yetu,tukatae kauli hasi,ni sumu kali,inayotengeneza mawimbi ambayo ni lazima yafuate njia hiyo hiyo!,kama agizo!

    Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na maisha yake ya siku kwa siku,kauli zake azitoazo huweza kutengeneza effect fulani hasa pale anapozidi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoshi na wawazi wenu wazee naomba msada wa mawazo

    Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...
  11. rafikiwamwananchi

    JamiiForums Tanzania Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  13. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
  15. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

    Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu. Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri MASKINI 1.Matajiri Ni Mafisadi 2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga 3.Matajiri Ni Freemason 4.Matajiri Wameachiwa Urithi 5.Matajiri...
  16. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu. Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunakalia kuuliza maswali AI wenzetu wanavifanya vifaa wanavyotumia viwe mawazo yake bila msaada wowote nje ya vifaa vyake

    Ni maisha tu ya kumudu hii teknolojia ya AI ndio inafanya wengi kutumia steji tuliyopo. Kwa wenzetu imekuwa tofauti kwa AI. AI sasa unaweza kutengeneza cloud yako yenye database ze a logarithm zako ambazo utaziamrisha kwa mawazo yako utakavyo. Kinachofanya kuwa ngumu kwa sisi.Unaitaji vifaa...
  18. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Ninapokuwa na Mawazo, chupa ya maji inageuka bia

    Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
  19. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

    Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi) So basically ni kaamua kuwa instead of kukaa na vitu vingi kichwani ni bora kushare na kupata closure kwa wadau Nafurahi mwitikio...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
Back
Top Bottom