Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao ya kijamii kama vile YouTube Instagram Ticktock nk.
Akili yangu inaniambia hii ni boashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje...
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share
RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa .
Kumbuka...
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch...
Habari zenu?
Natumaini wote mko salama.
Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu.
Stand as a man...
Hello wana jamii kwema humu?
Kuna baadhi ya kazi/Shughuli ambazo watu wanazichukulia poa lakini zina kipato cha maana,
Kwa mfano kuna mtu namfahamu kazi yake ni kuzibua vyoo, lakini anakwambia anaingiza pesa za kutosha,
jamaa amekuwa maarufu kwa kazi hii, ana familia na maisha yanasonga kama...
Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia
1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge.
Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
Hapa kuna masharti 20 ya kulinda kipato endelevu kutoka majengo ya kupangisha ambayo yanaweza kuwekwa kwenye mkataba wa upangishaji.
Kila sharti linatoa mfano halisi ili kusaidia kuelewa jinsi linavyoweza kutekelezwa na umuhimu wake kwa mwenye nyumba.
(1) Kodi Lipewe Kwa Wakati
Mpangaji...
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao .
Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili...
Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii
Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato lakini zitaki kupitia michezo ya kamali.
Kutokana na Kampeni za Mazingira na kuhakikisha nchi haziendelei kuharibu Dunia yetu, Kuna kiwango fulani ambacho kimewekwa katika viwanda (hususan katika nchi zinazotoa / zalisha sana Carbon) kwamba wasizidi kiasi fulani.
Sasa kuna nchi kama Tanzania yenye misitu na haizalishi sana Carbon...
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania
Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania.
Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.
Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani.
Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu.
Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link <<
Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.